Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tutaelewana tu
dcf6ec148ac1b0d48dca1150aa3276f9.jpg
 
Kwa hivyo serikali yenu ni waongo sivyo? Why is it so easy for you to believe a newspaper and not your government? Serikali yenu imesema connectivity stands at 30% at the moment and hopes to connect 50% of Tanzanians by 2025. Sasa hii 70% hayo majarida katoa wapi? Your government says haijaconnect hata 50% ya raia na wengine hapa wanatoa data za 70% za uchwara. Mimi najua asilimia 30 ya watanzania ndo wako na umeme kwa sababu serikali yenu ndio imesema. Link ndio hii hapa usome kwa mara ya pili
Tanzania - Energy | export.gov
Lugha ya malkia ngumu kweli kweli,ni hivi umeme wa gridi ya taifa umewafikia wananchi kwa 70% lakini waliomudu kuunga huo umeme ni 30-35& .Tofautisha kati ya connectivity na accessibility
 
Interstate 495 interchange ipo pale DC wapi ya LDC hata kamoja tuu?
Sijui ni ubishi unatafuta ila I hope unajua kua hiyo ipo nje ya washington DC. infact ipo virginia.
Hapa tunaelimishana if you are willing to learn, Interstate 495 interchange ipo Virginia kati ya 495, 395 na 95 (palipozungushiwa red). Sasa angalia boundary ya DC ilipoishia (pointer). Kwa kifupi ni kwamba DC haina interchange.
20180108_195614.png
 
najua ulikua hujui huu hapa uwanja wa kisasa ukijengwa mbeya hahaha😀😀😀😀
na ujenzi umeshaanza angalia video hio

Viwanja vya kiwango Tanzania vinaweza kuwa hata Kumi.

1.Kambarage Shinyanga
2.Ali Hassan Mwinyi Tabora
3.Jamhuri Dodoma
4.Jamhuri Morogoro
5.Mkwakwani Tanga
6.Sheikh Amri Abeid Arusha
7.Namfua Stadium Singida
8.
9.
10.
11.
12.

Others
1.Dar Es Salaam
2.Mwanza
3.Zanzibar
4.
5.
6.
 
Daah aisee hii Nairobi wanayoisifia ni uchafu mputu.. Wanaionyesha APA Aljazeera Now.. I can't believe eti wameomba kipindi kuonyesha uchafu huu..

47b3bff83a83928413ecef5ba3cd51b9.jpg

Ni lini Ulimshuhudia ngombe akitembea CBD Dar
Naona umeona hapo pamepangika vizuri hadi ukaconfuse na cbd. Ndugu yangu, hapo siyo cbd ila it's a typical nairobi estate. Hivo ndo residential estates za nairobi hukaa, sio zile uchafu niliona hapo awali ikionyehwa hapa. Hizo ni ng'ombe za maasai amabao wanazunguka na ng'ombe zao katika mitaaa za Nairobi, especially kule maeneo za eastlands. Nairobi was originally a maasai land if you didn't know. Even the name Nairobi was coined from a maasai word.Huku tumezoea kuwaona na ng'ombe zao so si ajabu
 
Pakawaida sana kijana...Ata usijifunue kwamba ni pazuri sijui estate
 
weh
....I can imagine the disaster when you are trying to get to your house when it rains.......for a middle class neighbourhood by daresalaam standards
That's Dar's middle class neighbourhood. The equivalent of Donholm, Umoja or Buru Buru in eastlands. This is just pathetic. After seeing this, huu mjadala hata haufai. These two cities are not on the same level. The picture above looks like that of one of the estates in my rural town, Migori. hehehe
 
Dodoma serikali inapeleka nguvu kubwa sana kule, Ile uwanja nakumbuka Rais alimwomba Yule kiongozi wa Morocco Amjengee uwanja...ni bakshishi tu Nashangaa 254 mnavyotokwa mate kama unawahusu vile

Dodoma ndani ya muda mfupi patakua kuliko miji mingi iliotangulia apa Tz, 7bu hasa ni Miradi mikubwa ya katika sekta ya ujenzi...
Miradi ya nyumba imeongezeka sana ,Barabara zimetanuliwa sana dodoma,Miradi mingine muhimu ya maji umeme na sgr imekua chachu kwa dodoma..

Dodoma ndipo wanapotaka kusahihisha makosa yaliofanyika dar es salaam...
Awamu hii hawatakosea tena na tutegemee mji wa kisasa kabisa
 
kwani nairobi kuna interchange? labda interchange iwe imekosa maana halisi, hakuna interchange nairobi
Nairobi hawana interchange, wala hawajui maana yake, kabla ya kusikia Tanzani inajenga interchange, walikuwa hawajawahi kutamka hicho kitu, waliposikia inajengwa Dar, wakachagua pale kwenye junction wakapaita interchange, wasubiri hii ikamilike ndiyo waje waone maana halisi ya interchange, hii tunayojenga hapa is one among the cheapest and simply interchange ukilinganisha na zile za Japan na South Africa, lakini itatugharimu $90M, hicho wanachoita interchange hapo Nairobi hata $200,000 hakikumaliza.

Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
 
Pakawaida sana kijana...Ata usijifunue kwamba ni pazuri sijui estate
Ni pazuri kwa sababu estates zenu hazifanani hivyo. One of your fellows even confused the place with cbd. Hiyo ndio taswira ya estates za Nairobi, sio zile uchafu niliona zikionyeshwa huku
 
Naona umeona hapo pamepangika vizuri hadi ukaconfuse na cbd. Ndugu yangu, hapo siyo cbd ila it's a typical nairobi estate. Hivo ndo residential estates za nairobi hukaa, sio zile uchafu niliona hapo awali ikionyehwa hapa. Hizo ni ng'ombe za maasai amabao wanazunguka na ng'ombe zao katika mitaaa za Nairobi, especially kule maeneo za eastlands. Nairobi was originally a maasai land if you didn't know. Even the name Nairobi was coined from a maasai word.Huku tumezoea kuwaona na ng'ombe zao so si ajabu
But why.. How??? I still don't understand.. Inakuaje MTU achunge ngombe mjini? Kuna mapori gani ya kufanya ngombe ashibe? So what you trying to say ni kwamba Nairobbery ni pori la akiba sio?
 
Back
Top Bottom