Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Vipi kaka blaza, I thought you are allergic to renders! Kumbe hata wewe wapost renders? Maajabu ya Musa
hio sio render iko underconstruction na picha ntakuletea nazitafuta coz ujenzi uko dodoma ungekua uko dar ningeenda mwenyewe kupiga picha lakini uko dodoma so nipe time nazitafuta kwa udi na uvumba utafurahi tu😀😀😀😀😀😀
 
asante ethiopia asante tanzania kwakuiwakilisha africa vyema😀😀😀😀😀
A7142171-EB65-4F56-BF2F-00F7F1B3E681.jpeg
 
A waste of money if you ask me. Bora ata wakaujengee Arusha. Dodoma bado ata haina international airport!
Kuna uhusiano gani kati ya International Airport na Stadium?, lengo kubwa la stadium ni kukusanya michezo ya aina mbalimbali ifanyike, pia mikusanyiko na shughuli mbali mbali hasa sherehe za kiserikali na kitaifa zifanyike, Dodoma ndiko ambako sherehe hizo zitafanyika, sasa Arusha kuna nini?
 
hio sio render iko underconstruction na picha ntakuletea nazitafuta coz ujenzi uko dodoma ungekua uko dar ningeenda mwenyewe kupiga picha lakini uko dodoma so nipe time nazitafuta kwa udi na uvumba utafurahi tu😀😀😀😀😀😀
How many times have you called things under construction in kenya renders. Ni chuki inakuumiza ama maana halisi ya render ndo hujui?
 
Kuna uhusiano gani kati ya International Airport na Stadium?, lengo kubwa la stadium ni kukusanya michezo ya aina mbalimbali ifanyike, pia mikusanyiko na shughuli mbali mbali hasa sherehe za kiserikali na kitaifa zifanyike, Dodoma ndiko ambako sherehe hizo zitafanyika, sasa Arusha kuna nini?
Kwa hivyo mnajenga uwanja kama hiyo kusudi ni kuandaa sherehe za taifa? Maajabu hayo! The one who posted this said it's a stadium of international standard, meaning it will be able to hold international matches in future. It is only then that it will have return on Investment. How will it achieve ROI minus an international airport coz hakuna mechi muhimu za kimataifa zitachezwa kule kama hakuna uwanja wa ndege. Huyo mwenzenu aliuliza swali muhimu sana.
 
usisahau stiglers gorge 2100MW😀😀 na mwaka huu tunapokea mchumchuma coal 600MW
After all is said and done hali halisi ya mambo ndo hii hapa
Tanzania - Energy | export.gov

The above information is from your government. Mnazalisha 1500MW and only 30% of bongolalas are connected to electricity. Thst is the bitter truth however much you don't want to talk about it here
 
Unajilinganisha na China??....Japan ni DC ..China ni MDC kama Kenya....nyinyi ni LDC

sent from iPhone 7
Kuku wewe.eti china ni MDC kama kenya .

Lini mlienda kuwapa mkopo hata wa kujenga kiwanda chupi???

Mimi nimetolea mfano,wewe ndio umelinganisha china na ufala.
 
Kwa hivyo na nyinyi mnapoleta taarifa za Kenya huku yamaanisha kwamba mnajua Kenya kutuliko sisi wakenya?
Mbona liko wazi hilo,wewe ulijua kama jana kuna basi limechomwa moto na bodaboda kenya kwa kugonga mmoja wao???

Kifupi kwa exposure hamtuwezi,internet ya bure mnaangalizia porn tu.
 
Naona sasa hivi atajifungia na kuanza kutokwa kamasi. This is not 90s tz
1800MW kwa karatasi wakati serikali yenu inaongea kuhusu 1500MW. Sasa you expect us ti believe you more than your government?
 
international airport pia iko underconstruction in dodoma labda uulize kingine😀😀😀😀
Hakuna construction ndio kwanza wanafanya review za designs. Waliona ya Chattle ndio muhimu zaidi hiyo ndo iko under construction naskia Rais ataifungua rasmi soon.
 
Mbona liko wazi hilo,wewe ulijua kama jana kuna basi limechomwa moto na bodaboda kenya kwa kugonga mmoja wao???

Kifupi kwa exposure hamtuwezi,internet ya bure mnaangalizia porn tu.
Sikua najua lolote kaka, asante sana kwa kunijuza. Nawalaumu sana vyombo vyetu vya habari kwa kukosa kutujuza mambo yanayochipuka humu nchini hadi inabidi tuingie fj ndo tuwe na habari. Hivi, huyo mtu wa bodaboda alikakita mgu, mkono au kichwa? Na alifariki ama aloponea? Naomba unipe habari hizo pia kaka, nitashukuru sana
 
Hakuna construction ndio kwanza wanafanya review za designs. Waliona ya Chattle ndio muhimu zaidi hiyo ndo iko under construction naskia Rais ataifungua rasmi soon.
Hahaha....lol. Eti waliona ya cattle ndio muhimu zaidi! Sina mengi ya kusema
 
Hakuna construction ndio kwanza wanafanya review za designs. Waliona ya Chattle ndio muhimu zaidi hiyo ndo iko under construction naskia Rais ataifungua rasmi soon.
Sasa ulivyo mjinga ukisikia under construction,unaelewa nini,kama ni barabara watu wanapima itapita wapi na itakuwa na ukubwa gani utaitaje???

Inonekana nawewe ni miongoni mwa wale wajawazito walioshika mimba baada ya kujengwa uwanja wa ndege chato.
 
Back
Top Bottom