ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
haeleweki labda dume jike😀😀😀😀Anaipenda sana Tanzania huyu, kwani ni ME au KE?
haeleweki labda dume jike😀😀😀😀Anaipenda sana Tanzania huyu, kwani ni ME au KE?
Nairobi yenyewe haijawahi kuwa na interchange hata mojaleta picha ya airport,na hata ka interchange dodoma
Kama ni dume, basi itakuwa mtoto si riziki huyu jamaahaeleweki labda dume jike😀😀😀😀
sasa inaonyesha uchumi wa dodoma ni kidogo sana..alafu fala anajenga stadium ya 90k pple ..ujinga mtupuhakuna haja ya interchange dodoma kwani barabara zinatosheleza sana tu, interchange zinajengwa sehemu zenye misongamano mingi ya magari
Hiyo ndiyo ujue Tanzania sio level yenu, wakati ninyi hamna uwanja wowote wa maana nchi nzima, huku tunashusha uwanja wa pili, tukimaliza tunakuja Arusha, tunajenga wenye capacity ya watu 150,000sasa inaonyesha uchumi wa dodoma ni kidogo sana..alafu fala anajenga stadium ya 90k pple ..ujinga mtupu
kua na interchange haihusiani na uchumi tunajenga kwasababu shuguli za kiserekali na serekali yenyewe itakua huko so tulia ndugu tunaangalia 40yrs not 5 yrssasa inaonyesha uchumi wa dodoma ni kidogo sana..alafu fala anajenga stadium ya 90k pple ..ujinga mtupu
mzijenge kabsa kama itawaongezea GDP ni sawa..ata mkitaka kujenga ya 1 million mbeya ni sawa piaHiyo ndiyo ujue Tanzania sio level yenu, wakati ninyi hamna uwanja wowote wa maana nchi nzima, huku tunashusha uwanja wa pili, tukimaliza tunakuja Arusha, tunajenga wenye capacity ya watu 150,000
na hapo usisahau yanga na simba wanajenga viwanja vyao vya kuchukua watu 40k na azam ameanza phase two ya uwanja wake😀😀😀😀Hiyo ndiyo ujue Tanzania sio level yenu, wakati ninyi hamna uwanja wowote wa maana nchi nzima, huku tunashusha uwanja wa pili, tukimaliza tunakuja Arusha, tunajenga wenye capacity ya watu 150,000
interchange inaonyesha magari ni mingi ..magari hutokana na uchumi kupanuka.....mombasa,kisumu,nakuru zina interchanges 4,2,2 repectively ...eldoret,kericho ina interchange moja moja kusaidia katika traffickua na interchange haihusiani na uchumi tunajenga kwasababu shuguli za kiserekali na serekali yenyewe itakua huko so tulia ndugu tunaangalia 40yrs not 5 yrs
najua ulikua hujui huu hapa uwanja wa kisasa ukijengwa mbeya hahaha😀😀😀😀sawa
mzijenge kabsa kama itawaongezea GDP ni sawa..ata mkitaka kujenga ya 1 million mbeya ni sawa pia
narudia tena kukwambia interchange haihusiani na uchumi dodoma inabarabara nyingi sana zinazotosheleza mji so hatuhitaji kupoteza pesa kueka interchangeinterchange inaonyesha magari ni mingi ..magari hutokana na uchumi kupanuka.....mombasa,kisumu,nakuru zina interchanges 4,2,2 repectively ...eldoret,kericho ina interchange moja moja kusaidia katika traffic
najua ulikua hujui huu hapa uwanja wa kisasa ukijengwa mbeya hahaha😀😀😀😀
na ujenzi umeshaanza angalia video hio
hakuna city hii dunia yenye stadium ya capacity 90k na haina interchangenarudia tena kukwambia interchange haihusiani na uchumi dodoma inabarabara nyingi sana zinazotosheleza mji so hatuhitaji kupoteza pesa kueka interchange
Sisi tunachothamini ni kujenga nchi, tuwe na barabara, viwanja vya mpira, viwanja vya ndege, Hospitali bora, umeme kwa wananchi wote, uhakika wa chakula na usalama kwa raia wetu, ninyi endeleeni kuimba GDP pekeesawa
mzijenge kabsa kama itawaongezea GDP ni sawa..ata mkitaka kujenga ya 1 million mbeya ni sawa pia
Hamjawahi kuwa na interchange hata moja, hata Nairobi haina interchange, subiri Ubungo interchange ikimalizika utakuja kuona na kujua maana ya interchange ninini?, Ethiopia wanayo moja na Ghana ipo moja, hata Nigeria ambao idadi yake ya magari ni zaidi ya idadi ya population ya Kenya lakini hawajajenga interchange, hujui kabisa maana ya interchange unajisemea tu, vile vi cross over roads ndiyo unaita interchange...wewe kweli chang'aa imekuvuruga kichwainterchange inaonyesha magari ni mingi ..magari hutokana na uchumi kupanuka.....mombasa,kisumu,nakuru zina interchanges 4,2,2 repectively ...eldoret,kericho ina interchange moja moja kusaidia katika traffic
nani asiejenga infastructure we unafkiri tanzania imekaa tu haijengi barabara😀😀😀😀😀mzijenge tu..sisi tuko kwa infrastructure
according to ur views😀😀😀😀😀hakuna city hii dunia yenye stadium ya capacity 90k na haina interchange
hatajua kwasababu hapendi kukubaliana na ukweliHamjawahi kuwa na interchange hata moja, hata Nairobi haina interchange, subiri Ubungo interchange ikimalizika utakuja kuona na kujua maana ya interchange ninini?, Ethiopia wanayo moja na Ghana ipo moja, hata Nigeria ambao idadi yake ya magari ni zaidi ya idadi ya population ya Kenya lakini hawajajenga interchange, hujui kabisa maana ya interchange unajisemea tu, vile vi cross over roads ndiyo unaita interchange...wewe kweli chang'aa imekuvuruga kichwa