Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwasat is this a slum .nyumba nzr hivi utazipata wapi kibera,mathare nk nyumba mabati yamepigwa rangi,ni kubwa na zina Huduma zote
2be2b90fe82d644aa26ac78b9aa3aec4.jpg
My friend, there's more to Nairobi than just Kibera. just the same way there's more to Dar than just mbagala or Tandale. Kibera is a very small fraction of Nairobi. If you happen to visit Nairobi, you will never find a place looking like the picture I have seen above apart from the slums. Nairobi is a very organized city with well-planned estates with apartments. Even not so good estates like pipeline in Embakasi still have good roads running between highrise apartments, siyo nyumba za mabati kama hizo nimeona hapo juu. Nairobi and Dar are worlds apart ingawa huu ni uchungu kwenu kumeza
 
Leta kibera au mathare yako
Mbona unataka kufananisha hiyo picha na Kibera ambayo kila mtu hapa anajua ni slum? Ama hiyo picha hapo juu ni Tandale? Why do you want to compare your normal estate na kibera, which is a slum? Or are you just confirming to us that Dar is just a slum hence the comparison with Kibera?
 
narudia tena kukwambia interchange haihusiani na uchumi dodoma inabarabara nyingi sana zinazotosheleza mji so hatuhitaji kupoteza pesa kueka interchange
You are reasoning like a typical Tanzanian. Interchanges and wide roads are built in order to manage traffic flow due to the increasing number of cars on the roads. And what does an increase in the number of cars tell you? It means midldle class inazidi kupanuka as as a result of a growing economy. Umeelewa sasa? Na bado nangoja ile link ya Dar port
 
Hamjawahi kuwa na interchange hata moja, hata Nairobi haina interchange, subiri Ubungo interchange ikimalizika utakuja kuona na kujua maana ya interchange ninini?, Ethiopia wanayo moja na Ghana ipo moja, hata Nigeria ambao idadi yake ya magari ni zaidi ya idadi ya population ya Kenya lakini hawajajenga interchange, hujui kabisa maana ya interchange unajisemea tu, vile vi cross over roads ndiyo unaita interchange...wewe kweli chang'aa imekuvuruga kichwa
Haya msomi wa jf tueleze maana halisi ya interchange ni nini na pia utuletee picha tuone
 
Hii ndio Dar es salaam inayopambaniswa na Nairobi? Ole wangu. sijaamini hizi ndizo mitaa za Dar. Kusema tu ukweli, apart from slums za Nairobi, huwezi pata sehemu inafanana hivi Nairobi. This is what they want us to believe is superior to Nairobi! Hahaha nimedharau huu mji wenu sana. No wonder when we ask them to show us aerial photos of their residential areas wanabaki wakitapatapa tu. To be honest, it will take dar a million years to reach the level of Nairobi if what I have seen here is true
Hii niwapi mpuuzi mkubwa
36dd403b5b04c2a65be162a8ab39a2ba.jpg
 
Nisichoelewa ni vipi itakuwa na faida kwa serikali wakati hiyo dodoma haina hata uwanja wa ndege
aliekwambia haina nani???😀😀😀😀
serekali yote na shugli zote za serekali zinahamia dodoma uwanja msalato international airport unajengwa nini usichoelewa wewe
ikulu ya kimataifa inajengwa dodoma tunapozungumza hapa ujenzi wa ikulu unaendelea
1715FD3F-A8DE-4D62-B167-CB9E3DAF8A55.jpeg

na bahati nzuri biggest and modern parliament in east and central africa iko dodoma, the biggest university in east africa iko dodoma, modern conventional center iko dodoma wewe huelew nn hapo
 
aliekwambia haina nani???😀😀😀😀
serekali yote na shugli zote za serekali zinahamia dodoma uwanja msalato international airport unajengwa nini usichoelewa wewe
ikulu ya kimataifa inajengwa dodoma tunapozungumza hapa ujenzi wa ikulu unaendelea
View attachment 671081

na bahati nzuri biggest and modern parliament in east and central africa iko dodoma, the biggest university in east africa iko dodoma, modern conventional center iko dodoma wewe huelew nn hapo
Kwani hamna equipments za ujenzi na wafanyakazi kwa hiyo site ama it's a PR exercise for the media and gullible citizenry by his excellency magufuli?
 
Kwani hamna equipments za ujenzi na wafanyakazi kwa hiyo site ama it's a PR exercise for the media and gullible citizenry by his excellency magufuli?
kilio cha nn sasa😀😀😀😀😀 ukioneshwa unalia usipooneshwa unatokwa na povu
 
Mwasat is this a slum .nyumba nzr hivi utazipata wapi kibera,mathare nk nyumba mabati yamepigwa rangi,ni kubwa na zina Huduma zote
2be2b90fe82d644aa26ac78b9aa3aec4.jpg

weh
....I can imagine the disaster when you are trying to get to your house when it rains.......for a middle class neighbourhood by daresalaam standards
 
hakuna city hii dunia yenye stadium ya capacity 90k na haina interchange
hivi wewe, interchange unaona sifa?! Hivi unajua interchange inatokana na poor intial planning, pale mji unapokua tofauti na matarajio ya mipango miji?! "Hakuna city hii dunia yenye" initial plan yake waliweka kabisa ka'interchange
 
Kwaiyo airport na interchange ndo kipimo cha mji? Washington DC inayo airport sawa na Nairobi, je ina interchange kama Nairobi? Kama haina, basi kwa mtazamo wako Nairobi imeipiku mji mkuu wa marekani!!
Interstate 495 interchange ipo pale DC wapi ya LDC hata kamoja tuu?
 
Kwaiyo airport na interchange ndo kipimo cha mji? Washington DC inayo airport sawa na Nairobi, je ina interchange kama Nairobi? Kama haina, basi kwa mtazamo wako Nairobi imeipiku mji mkuu wa marekani!!
kwani nairobi kuna interchange? labda interchange iwe imekosa maana halisi, hakuna interchange nairobi
 
Back
Top Bottom