Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

nani asiejenga infastructure we unafkiri tanzania imekaa tu haijengi barabara😀😀😀😀😀
Jana tuliwaonyesha mtandao wa barabara za Tanzania ulivyouzidi wa Kenya, August mwaka huu tunafungua Airpot kubwa kuliko zote within EAC, November Magufuli alifungua Hospitali ya kisasa zaidi in East and Central Africa, ujenzi wa Bagamoyo port, the biggest port in Africa umeanza, electrical SGR ujenzi unaendelea kwa kasi, tenda za mradi mkubwa wa umeme wa 2100MW zimetangzwa, nchi gani zaidi yeye miradi mingi ya infrastructure zaidi ya Tanzania?
 
usisahau BRT phase two unaanza mwaka huu pesa zimeshatolea na african development bank over 156m usd

usisahau new surrender bridge unaanza mwezi huu 7.1 km bridge on indian ocean

dar port expansion over 350m usd under construction

etc
 
Muda mfupi baadae Tutakua tunakimbizana na World's Giant Stadiums Kama Wembley, tutaachana na hawa ndugu zetu Dreamers

f35efea225a3b50920ff9db18defbf17.jpg
e3654b3d5ab863a9cbe242814f2b64eb.jpg
58d19472ccec4fd31e77d09693a0a9f1.jpg
18c44b1619d22ae1456072943d42f785.jpg
97d6f9786293a1e45692d4df4ff40e96.jpg
d93b57496faf814cbbac209c58c663f4.jpg
 
usisahau BRT phase two unaanza mwaka huu pesa zimeshatolea na african development bank over 156m usd

usisahau new surrender bridge unaanza mwezi huu 7.1 km bridge on indian ocean

dar port expansion over 350m usd under construction

etc
Hafadhali umenikumbusha, niliwaambia kwamba jumla ya thamani ya miradi yote inayofanyika hapa Tanzania, ni sawa na au inaweza kuwa kubwa kuliko miradi ya nchi zote tano za EAC, yaani TZ=KE +UG +RW + BR + SS
 
All white elephants na kama si kweli hebu weka picha ya just one complete project apart from BRT.😛
 
Nilikuambia uwe unajielimisha kwanza kabla ya kuandika kitu, usichanganye kati ya project U/C na white elephant project, jielimishe kwanza
 
Congrats...but all those towns have a pop of more than 1 million and have improved infrastructure
That's how Dodoma is going to be..Massive Infrastructures are currently on the way.. Na ni project za muda mrefu mpaka 2021.. Nyumba zinazojengwa na Estates na Offices kwa ajili ya kuwahamishia wafanyakazi huko ni nyingi saaanaa.. Hotets kwa ajili ya viongozi na watu Wa kawaida Mashule kuna IKULU vyote vinatekelezwa na viko under construction...
 
But a stadium is never a first priority

sent from iPhone 7
 
But a stadium is never a first priority

sent from iPhone 7
Vyote vinaenda pamoja.. Infact Tz Tunapenda mpira sana.. Na huo Uwanja hautachukua muda mrefu kurudisha hio hela.. Unajua Kwann SportPesa wanadhamini karibia timu 4 hapa? Unajua Kwann wanajenga viwanja hapa? Kwasababu wameiona hio fursa... Pale uwanja Wa Dar wamefanya ukarabati wao kuanzia Dressing Rooms kila kona..
 
90k stadium???..sportpesa inajimarket
 
Back
Top Bottom