Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 20,598
- 15,703
Kama hiyo ndio uswahili acha tu ikae. Hata mombasa ni uswahilini lakini mitaa zake hazikai vibaya hivyoNairobi hakuna uswahilini?Africa Ni ileile acheni kujitekenya
Kama hiyo ndio uswahili acha tu ikae. Hata mombasa ni uswahilini lakini mitaa zake hazikai vibaya hivyoNairobi hakuna uswahilini?Africa Ni ileile acheni kujitekenya
![]()
![]()
Wacha Ng'ombe washibe sasa.
Acha kuropoka, hizo ulizoona ndiyo slums za Dar, middle class is Sinza, Mbezi beach, Kigamboni and Mwenge, ukifika sehemu hizo utafunga mdomo wako.That's Dar's middle class neighbourhood. The equivalent of Donholm, Umoja or Buru Buru in eastlands. This is just pathetic. After seeing this, huu mjadala hata haufai. These two cities are not on the same level. The picture above looks like that of one of the estates in my rural town, Migori. hehehe
![]()
![]()
Wacha Ng'ombe washibe sasa.
Uko na shida ya kusoma au nini? Didn't you read the part I said that's not cbd? I have lived in Nairobi for nine solid years now but I have never seen cows katikati ya mji or even a long the major roads of the city, leave alone cbd. Maeneo ya eastlands yanapakana na kajiado county, the heartbeat of maaasais so wakati wa ukame they spill over with their cattle to Nairobi boundaries in search of water for their animals. Hawakuji huku kimalisho kilaza wewe.But why.. How??? I still don't understand.. Inakuaje MTU achunge ngombe mjini? Kuna mapori gani ya kufanya ngombe ashibe? So what you trying to say ni kwamba Nairobbery ni pori la akiba sio?![]()
![]()
![]()
Wacha Ng'ombe washibe sasa.
Dar utadhani Newyork
haha aty utadhani new york na hizo majumba ovyo za kariakoo..unaota budaDar utadhani Newyork
Nishadharau huo mji wenu kijana. Hizo mitaa umetaja hapo juu si midlle class ila ni mitaa za wadosi, what we call ubabini here in Kenya. They are the equivalent of Spring Valley, Lavington, Kyuna or Karen here in Nairobi though I know bado hazifikii hizi mitaa nilizotaja. If the estates you mentioned above ni middle class, basi nitajie mitaa za wadosi mahali hata expatriates wanaweza ishiAcha kuropoka, hizo ulizoona ndiyo slums za Dar, middle class is Sinza, Mbezi beach, Kigamboni and Mwenge, ukifika sehemu hizo utafunga mdomo wako.
Sent from my MediaPad T1 8.0 using JamiiForums mobile app
whats modern there????????? just google diani beach festival then images then take a look at the best beach in Africa...u will never find such marine modern transport in east and central africa😀😀😀😀
View attachment 671204
![]()
![]()
Wacha Ng'ombe washibe sasa.
is diani modern marine transport😀😀😀whats modern there????????? just google diani beach festival then images then take a look at the best beach in Africa...
http://edition.cnn.com/travel/article/africa-best-beaches/index.htmlis diani modern marine transport😀😀😀
siku mkipata modern marine transport kama hii unitag i will be waiting😛😛😛
tanzania zimejaa kama uchafu
View attachment 671209