Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tanzania huwez kuikosa😀😀😀
87AA1DF9-F05E-49F6-9658-4934139D3C37.png
 
Nishadharau huo mji wenu kijana. Hizo mitaa umetaja hapo juu si midlle class ila ni mitaa za wadosi, what we call ubabini here in Kenya. They are the equivalent of Spring Valley, Lavington, Kyuna or Karen here in Nairobi though I know bado hazifikii hizi mitaa nilizotaja. If the estates you mentioned above ni middle class, basi nitajie mitaa za wadosi mahali hata expatriates wanaweza ishi
Kichaa sio lazima utembee uchi, kwanza neno wadosi huku kwetu unamaanisha wahindi, huko kwenu sijui unamaanisha nini, ila mitaa ambayo inakaa diplomats na wazungu ni Oysterbay na Masaki, hiyo ndiyo mitaa ya level ya juu kabisa, ukishuka hapo ni Mbezi beach ambayo 80% ni watanzania wenye kipato middle na 20% high income, zilizobaki zote nilizokutajia ni 95% middle income earners.
sasa njaa itakua kali mara nne ya sasa hvi😀😀😀
 
since you changed the battle from nairobi vs dar to nairobi+mombasa vs dar,then no problem if mombasa is brought to the table for a discussion.

nimeona mmeleta picha za dodoma mwanza na arusha huku...
.so wacha kuropokwa.....ulishakiri Dar haifikii Nairobi kwa maendeleo na ukubwa ila bado unatapatapa
 
mombasa port is 3 times bigger than your slum
has better roads,interchanges
has SGR
BIGGER AIRPORT
SAME NUMBER OF MILLIONAAIRES
THATS MOMBASA BABY ..BETTER THAN YOUR LARGEST CITY
since you changed the battle from nairobi vs dar to nairobi+mombasa vs dar,then no problem if mombasa is brought to the table for a discussion.
 
Malindi and Watamu imepiga Zanzibar tatu bila..
labda huijui zanzibar vzr nilikwambia watalii wanaoingiza zanzibar ni wengi kuliko watalii munaopokea kenya nzima kama unabisha sema😀😀😀

na hakuna mji wowote ukanda wa africa mashariki na kati unaiweza zanzibar kwa beach hotels hakuna😛
 
sisi huwabwaga through the most credible sources like CNN imf world bank.....nyinyi mmeshindia blogs na grapevine "vijiweni"hahaha
 
since you changed the battle from nairobi vs dar to nairobi+mombasa vs dar,then no problem if mombasa is brought to the table for a discussion.
Hiyo picha ililetwa na mdanganyika mwenzenu akidhani ni Nairobi. Sasa unataka akubali ni Nairobi wakati picha ni ya Mombasa? Vipi wewe
 
Sijui ni ubishi unatafuta ila I hope unajua kua hiyo ipo nje ya washington DC. infact ipo virginia.
So there is an Interchange in Virginia and an Interchange in Kisumu. Is there one in Mwanza or Dar es salaam and if so please post a picture of it.
 
Hebu post zile picha za the stalled SGR za usiku na mchana pale Tanzania angalau tutokwe povu.
google is ur friend😀😀😀😀 hunilipi mshahara mm kama unamaumivu sana na hasira shika transformer ya kenya power
 
Back
Top Bottom