Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mwasat is this a slum .nyumba nzr hivi utazipata wapi kibera,mathare nk nyumba mabati yamepigwa rangi,ni kubwa na zina Huduma zote
2be2b90fe82d644aa26ac78b9aa3aec4.jpg
 
hehehe chattle tena😀😀😀😀😀 hakuna sehemu tanzania inaitwa chattle hakuna, sehemu inaitwa chato pole sana bro😛😛😛😛😛
Kabisa unaamini kwamba sijui jina la eneo husika?
Hiyo ni wordplay tu mkuu usijitoe ufahamu
 
Siongelei sportpesa naongelea ujenzi was stadium dodoma
Sisi tunauhitaji sana huu Uwanja.. Sanaa.. Ni moja ya kuupa hadhi mji mkuu Wa Dodoma.. Na kujenga UltraModen stadiums ni Project ya nchi ni kwa Kwamba there's limited fund kwa sasa ndo maana tunaenda polepole.. Kuhamia Dodoma kumechukua Ma trillion ya Pesa na ndio no 1 country's Project..
 
kwan serekali ya kenya ilioko nairobi si kila kitu kiko nairobi, ongea kitu ukiwa na uelewa mrefu,
sisi hatujengi kitu kiluangalia miaka 5 tunajenga kuangalia miaka 40 mbele, we unafkiri serekali ikishahakia dodoma fursa zote zi kiserekali zinahamia dodoma, balozi zitakua dodoma etc
Hapana copy Nairobi chooboy utapasuka msamba.
 
wewe huo uwanja unakuumia nini??? ushaambiwa serekali imeanza kuhamia dodoma sasa hapo usichoelewa ni nini??
Nisichoelewa ni vipi itakuwa na faida kwa serikali wakati hiyo dodoma haina hata uwanja wa ndege
 
Kwa hivyo serikali yenu ni waongo sivyo? Why is it so easy for you to believe a newspaper and not your government? Serikali yenu imesema connectivity stands at 30% at the moment and hopes to connect 50% of Tanzanians by 2025. Sasa hii 70% hayo majarida katoa wapi? Your government says haijaconnect hata 50% ya raia na wengine hapa wanatoa data za 70% za uchwara. Mimi najua asilimia 30 ya watanzania ndo wako na umeme kwa sababu serikali yenu ndio imesema. Link ndio hii hapa usome kwa mara ya pili
Tanzania - Energy | export.gov
 
Hii ndio Dar es salaam inayopambaniswa na Nairobi? Ole wangu. sijaamini hizi ndizo mitaa za Dar. Kusema tu ukweli, apart from slums za Nairobi, huwezi pata sehemu inafanana hivi Nairobi. This is what they want us to believe is superior to Nairobi! Hahaha nimedharau huu mji wenu sana. No wonder when we ask them to show us aerial photos of their residential areas wanabaki wakitapatapa tu. To be honest, it will take dar a million years to reach the level of Nairobi if what I have seen here is true
 
Back
Top Bottom