fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,701
- 9,324
Sio kweli,maendelea kwa dar es salaam ni makubwa sana kwa hiyo miaka unayoisema,barabara zimejengwa sana,fly overs zimejengwa,bandari imejengwa sana na still inajengwa,hospitali zimengwa sana.Mabasi ya mwendo kasi yanazidi kuongezwa.Angalia ni kampuni ipi inaonesha ligi ya mpira wa miguu ya kenya?Hiyo ni kampuni ya wapi?Tuangalie facts bro tusongee bla blaHaya yamekuwa yakisemwa humu kwa miaka 14 sasa tangu nijoin hii forum 2012.