Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Objective ilikuwa kupiga hela tuu kwasababu wanajua wakenya wanapenda vitu kama vya ulaya na marekani
 

Hamna aircraft KQ imenunua wacha ujinga! Get to know the meaning of the term capacity purchase agreement!
Screenshot 2026-03-11 071430.png
 
Lazima ulete photos za 2007 ili ujisikie vizuri. Dar sio your level, nendeni mkashindane na Mwanza
Ulichofanya ni kuingia Google na kuanza ku search "floods in Dar es Salaam" "slums in Dar es Salaam" "Dirty places of Dar es Salaam" "congestion in Dar es Salaam"

Unasearch tu kama fala ili ujidanganye kwamba tuko sawa na nyinyi. We are not your mates 😂😂
Actually hizi picha ni za 1920. Happy now nyamwezi?
 

Wakenya wana mentality ya kishamba sana na yote hii ni kutokana na low IQ baada ya kula githeri kwa muda mrefu 😂😂
Huwa wanajenga vitu ili waringishie nchi nyingine, hawaangalii Kenya inapaswa kuwa na nini. Hiyo nchi ina many useless projects ndio maana deni lao liko juu and apparently Nairobi is still struggling to be a proper city, they have so many problems
Siku wakija kugundua ujinga wanaofanya itakuwa too late
 
Back
Top Bottom