nyangau mkenya
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,741
- 3,319
Kericho town
acha kulia sasa kama hutufuatiliiVile ichoboy ameanza kuroast Tanzania ndio nimedhibiti ile kitu mimi husema. Hawa watu wanatufuatilia ila sisi hatuwafuatilii. Huu uozo wao ni wa juu hata kushinda wetu yet wapo busy kupost wetu. Ni kama wanatufualia kuliko wanvyojifuatilia. 🤣 🤣 🤣
BTW anamroast nan sasa kila akiulizwa maswali anakimbia 😂 😂Vile ichoboy ameanza kuroast Tanzania ndio nimedhibiti ile kitu mimi husema. Hawa watu wanatufuatilia ila sisi hatuwafuatilii. Huu uozo wao ni wa juu hata kushinda wetu yet wapo busy kupost wetu. Ni kama wanatufualia kuliko wanvyojifuatilia. 🤣 🤣 🤣
Asa huyo muhindi ana m roast nani hapa .? Unajisemesha visivyo facts kwakua amefinywa.?Vile ichoboy ameanza kuroast Tanzania ndio nimedhibiti ile kitu mimi husema. Hawa watu wanatufuatilia ila sisi hatuwafuatilii. Huu uozo wao ni wa juu hata kushinda wetu yet wapo busy kupost wetu. Ni kama wanatufualia kuliko wanvyojifuatilia. 🤣 🤣 🤣
anaroast mikate yake si ametoka bakery 😂Asa huyo muhindi ana m roast nani hapa .? Unajisemesha visivyo facts kwakua amefinywa.?