REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Kenyans mara nyingi akili zao ziko kwenye kushindana na kujikweza.Walishangilia walivyoongopewa eti wanawekewa seat za kisasa, jamaa plan zao mbovu sanaa, yn wamekopa mabilioni ya pesa kujenga uwanja alafu finalization inawashinda.
Wao ni kuangalia nchi gani imefanya nini na kuanza kujenga kuipiku bila feasibility study ya kueleweka na hawana hela.