Of course you are too dumb to know.Excuses 🤣🤣🤣🤣
Hata wewe tutakununua ukawe houseboy wa Rostam
Of course you are too dumb to know.Excuses 🤣🤣🤣🤣
Hata wewe tutakununua ukawe houseboy wa Rostam
Rostam Aziz amenunua hisa zote za Nation Media Group,huo ni ushindi mwingine wa Dar dhidi ya NairobiKulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.
View attachment 3522579
1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
Kama kawaida mkibanwa, lazima mkimbilie Kibera. 😂 😂 😂“Nani hajui Rostam is Ruto's proxy, Standard Media Group imemnyorosha kiboko ameaumua kutafuta equalizer.” 😂😂😂View attachment 3556140
Nairobi bado sana, hii town yao sijui hata nani alii design, hata big infrastructure wao wanajenga hovyo hovyo tu bila plan. Hawajui hata vipaumbele vya city yao ni nini. Very shitty place“Nani hajui Rostam is Ruto's proxy, Standard Media Group imemnyorosha kiboko ameaumua kutafuta equalizer.” 😂😂😂View attachment 3556140
Fix kwanza hiyo town yenuTalanta will never be built and other stories 🥱🥱View attachment 3556133View attachment 3556134
Kwa nini unaumia sana ukisikia Kibera 😂😂Kama kawaida mkibanwa, lazima mkimbilie Kibera. 😂 😂 😂
Hawataki kuendeleza miji mingine.Nairobi bado sana, hii town yao sijui hata nani alii design, hata big infrastructure wao wanajenga hovyo hovyo tu bila plan. Hawajui hata vipaumbele vya city yao ni nini. Very shitty place
Size of Nairobi ni kama tu ya Mwanza lakini iko na watu 5M wakati Mwanza ina 1.5M, sijui walikuwa wanafikiria nini kujaza watu wengi sehemu ndogo bila proper infrastructureHawataki kuendeleza miji mingine.
Kijiji kidogo kina slums kila kona. 😂😂😂
Excuses man 🤣🤣🤣Of course you are too dumb to know.
Well done KQ, make proper use of the 747.
View: https://x.com/KenyaAirways/status/2031395497257148874?s=20
Nani hajui Rostam is Ruto's proxy, Standard Media Group imemnyorosha kiboko ameaumua kutafuta equalizer.
Sasa hivi ni mwendo wa kununua kampuni zao maana ukitaka kufungua kampuni mpya vizingiti vinakuwa vingi.Rostam anamaliza kunyaland yote... Soon utasikia deal anayonyakua hapo mombasa port.
Mark this post, anachukua operations zote za mombasa port.
HAta yule wa cement na azam ni ruto proxy, you know what.. just cryNani hajui Rostam is Ruto's proxy, Standard Media Group imemnyorosha kiboko ameaumua kutafuta equalizer.
Ana mitungi ya gesi pale mombasa, the bigges in kenyaRostam anamaliza kunyaland yote... Soon utasikia deal anayonyakua hapo mombasa port.
Mark this post, anachukua operations zote za mombasa port.
SGR to Malaba is loading, wachawi mutajificha kule mlijificha wakati Talanta was launching.
View: https://x.com/KenyaRailways_/status/2031395628534698139?s=20