Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nairobi iko na POOR INFRASTRUCTURE. Mnatetea ujinga tu
We are not perfect.
Hiii inhenyesha ata Dubai,Paris, Berlin ingeflood tooo
Na ni infrastructure gani mko nayo ya kuToa iyo maji yote???
Kwa city ambayo inafanana slum without feeder roads just vichochoro all over mtawezana ata na 50mm per day within two days consecutively!!!
 
Dar es Salaam ni next level mzee, sio kama Nairoslums
Dar inapata heavy rains na floods hutokea lakini sio kama hizo za Nairobi. Heavy rain kama hiyo iliyonyesha Nairobi huwa inanyesha mara nyingi Dar, floods zake haziui watu wengi hivyo cause our drainage is better
You can't admit lakini Dar ni more complete city kuliko Nairoslums
 
mwambie hata Jangwani walipokuwa wanapigia kelele na super structure inajengwa!

View: https://x.com/CCCC_Tanzania/status/2016689309357936761

View: https://x.com/rs_nkl31405/status/2001154500665450692

This is how quality infrastructure looks like!

View: https://www.instagram.com/p/DVslaTrDMA9/?e=815b204c-e58e-4de4-850f-165f26b7f8ff&g=5
 
Next level
Dar es Salaam ni next level mzee, sio kama Nairoslums
Dar inapata heavy rains na floods hutokea lakini sio kama hizo za Nairobi. Heavy rain kama hiyo iliyonyesha Nairobi huwa inanyesha mara nyingi Dar, floods zake haziui watu wengi hivyo cause our drainage is better
You can't admit lakini Dar ni more complete city kuliko Nairoslums
without roads , zero sewerage system,
No planning and zoning
Dar ni Kampala or Ibadan tu.
 
Next level

without roads , zero sewerage system,
No planning and zoning
Dar ni Kampala or Ibadan tu.
Mental health crisis is real
If Nairobi is so superior in urban planning then why are floods so severe over there? Even Kampala handles heavy rains way better than Nairobi
That's what you get when you build congested city with poor infrastructure
 
Onesha picha za Dar ambapo Barabara zote hazipitiki. Uharibifu wa magari na vifo zaidi ya 100.. ile 40+ sio kweli
Tanzania floods zilizoua watu wengi ni zile za Manyara ziliua 47+ people kwa sababu haikuwa floods pekee, kulikuwa na massive land slide ambayo ndio iliua watu wengi
In Nairobi just regular floods imeharibu part kubwa hovyo hovyo. Many innocent people are dying cause of poor infrastructure. Hiyo ni city au takataka
 
Dar ni less stressful city than Nairobi. Nairobi iko behind in everything, too much traffic even more than Dar es Salaam, very congested place, poor drainage system, just regular rains and the whole CBD is turning into an ocean, very poor public transport system, it's 2026 and their biggest city doesn't even have BRT system
Poor sanitation, I don't think there's a city dirtier than Nairobi in the whole East Africa
They have got slums everywhere, people can't even employ themselves. Kama unaangalia video za Nairobi utaona vijana wengi wako na speakers za JBL wana dance kwenye streets. Hiyo city ni big NO kwa kweli. It will take decades to solve just 20% of their problems

Wakati Dar sasahivi ipo busy kubuild massive bridge in Jangwani, one of the most stubborn areas during rainy season, watu wa Nairobi wako busy kutafuta wa kumlaumu, Ruto & Sakaja

Dar inaplan kuconstruct metro railway system, Nairobi is still debating on how they can build BRT system.

Nairobi will always be behind, ni kama ministers wanao propose miradi ya hilo jiji hawajasoma kabisa.
 
Back
Top Bottom