Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,856
- 22,191
Sikatai kaka, lakini 4yrs kweli?Kipande Cha kuingia bandarini imebakia kidogo tu pale nyuma ya Mkuki House. Kwenye February next year treni itaanza kazi.
Sikatai kaka, lakini 4yrs kweli?Kipande Cha kuingia bandarini imebakia kidogo tu pale nyuma ya Mkuki House. Kwenye February next year treni itaanza kazi.
You are a r*tarded m*ron.
No amount of protest or vandalism allows the police, the upholders of the rule of law, to go shooting people in their homes.
Protests are dealt with tear gas and water cannons and sprays and finally rubber bullets. Those guilty of vandalism are taken through the judicial system for misdemeanors (not treason), unless you don't have a country.
Bongolala hamna akili kabisa.
Kenyans rose up for a single hawker who was fatally shot by a rubber bullet, na hapa you're being slaughtered like goats, and your anger is directed to those who dared challenge the dictatorship.
Only Gen Z and below will save your brain dead ujamaa heads.
No one said it's solely a Kenyan problem, but it's headquartered in Nairobi. You may be naive and innocent to know how these organizations work, yet we still have to sleep with one eye open.Amnesty International is not a Kenyan NGO. It is a global NGO headquartered in London. I don't see how Amnesty supporting Tanzanian activists is Kenya's problem.
We do have problems with mtandao, every Tanzanian knows this, the problem is, why do these human rights organizations from London are so concerned about our internal issues? If London truly cares about us, why don't they provide reparations for the harms of colonization?Furthermore, the core issue here is the sham election and human rights violations. Blaming the activists is missing the point. Global NGOs will fund dissidents in any country that violates human rights and rigs elections. Africa in particular is undergoing a revolution and we are going to see more of these unrests in countries that have tradionally not been known to have political unrests - even the docile Cameroonians this time were up in arms. Are you going to blame Kenya for that too?
We do have internal turmoil, but we must keep a watchful eye on everything coming our way.Uganda will likely face similar turmoil in its next election—the signs are already there. This isn’t foreign interference; it’s a natural response to injustice. People can only endure oppression for so long before resistance becomes inevitable. Tanzanians must begin to take responsibility for their internal failures instead of externalizing blame onto neighboring countries.
I don't see how this answers my question/
Kweli Kenya tuko mbele sana kidemocrasia, not even the DPP can acccept to take such a charge to court here. The day CCM falls I will be on the streets of DSM to celebrate freedom with Tanzanians
View: https://x.com/Oleshangay/status/1986770865732583499?t=N66unAf7DS1tZohMwUCoBw&s=19
Hatuna haja na kuhangaika wala kumsingizia kagame kwa upuuzi wetu wenyewe utakuwa ukengeChamoto ni lazima utambue kuwa kwenye haya maandamano, kulikuwa na infilitretaz ambao ndio wanahusika na mauaji mengi ya Watanzania na uchomaji wa miundombinu muhimu. Kaka yangu ni TISS na hii ni taarifa yenye ukweli.
Tuna tatizo moja kama nchi, Kikwete na genge lake, halina ubishi hili na tunapozinguana ndani wapo wenye ajenda nje huingia kuchochea na kufanya yao as is the case of Kenyans online na kenyan media, ANC ya Ramaphosa.
Kagame ni wakutoa pale Kigali. Tumemtrain sisi na ni wajibu wetu kumtoa sasa.
Wakenya wamo kwa kiasi kikubwa sana, on the ground si wengi hivyo but funds kwa activists wote zinatoka kwa mabeberu through Kenya, na online wamejazana Wakenya kuwndesha propaganda wakishirikiana na baadha ya wajinga wasio tambua ni nini hasa Wakenya wanataka.Hizi sabotage zipo wazi, wanaomiliki malori na vituo vya mafuta tunawajuwa.
Ni wazi reli inarubuniwa, ndiyo maana hata kipande kuungia bandarini, bado kina sua sua, ili biashara za watu ziendelee. Mambo ya hovyo sana.
Uharibifu wa BRT, ni hao hao wamiliki wa boda boda na dala dala, lakini pia kunaweza kuwa na kundi lililotaka kuharibu maandamano ya amani, kuyafanya yaonekane ya vurugu kama walivyofanya kwenye Occupy Wallstreet, miaka michache iliyopita.
Pia uwezekano wa baadhi ya WaKenya kuhusika upo, ila siyo kwa kiwango cha juu kama hawa watu wetu, wenye uchu wa mali.
Unahakika na hizo habari?Nashukuru sasa watu wameanza kujadili details.
Kuna watu wengi walikuwa wananiuliza kwanini Venus Star amebadilika, kipi kimemsibu.
Ndugu zangu napenda kuwaambia mimi nafanya mambo bila kukurupuka huwa nafanya utafiti na kisha nakuja na conclusion
1. Matukio ya Polepole, mnauhakika kweli huyu Polepole alikuwa upande wa Magufuli? Polepole ameibuka juzi kati na kuanza kutoa maelezo kuhusu Kifo cha Magufuli. Polepole alikuwa Katibu wa Itikati na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi. Yeye na Bashiru walikuwa na ugomvi usioisha ndania ya chama. Bashiru alikuwa Katibu mkuu wa CCM. Hawa watu wawili walimsumbua sana Magu akiwa mwenyekiti maana walikuwa hawaelewani na kusababisha ugomvi wa mara kwa mara ndani ya CCM.
KUHUSU POLEPOLE
Polepole toka akiwa kijana alikuwa kwenye Civil Society na baadaye kuteuliwa kuwa Rais wa Civil Society Tanzania. Baada ya hapo kuna matukio ya Ulimboka na vyama vya madaktali kugoma. Polepole yeye ndiye aliyekuwa akitumwa na Kikwete kwenda kuongea na kundi la Ulimboka ili waache mpango wao.
Siku ya kabla Ulimboka kutekwa alikaa na Polepole pale mlimani city, Polepole akimsihi ulimboka aachane na mpango wake. Walikaa kutoka Saa 12 jioni mpaka zaidi ya saa 5 za usiku. Ulimboka aligoma. Ndio kutekwa na kuteswa kulitokea baadae.
Polepole alimbiwa na Kikwete kuingia kwenye Tume ya Katiba ya Warioba. Kikwete aliwaacha watu wasomi waliokuwa kwenye Civil Society kama akina Meena akamchukua Polepole. Yalitokea yaliyotokea kila mtu aliona, Polepole alizunguka nchi nzima akiihubiri Rasmu ya katiba iliyoundwa na Warioba huku akimponda Kikwete. He was creating a chaos ili watu wachanganyikiwe. Polepole hakuwahi hata siku moja kufanywa chochote.
Kipindi cha Maazimisho ya siku ya wafanyakazi yalipangwa yafanyike Mwanza. Polepole alipanga kuanzisha Mkutano wake huko Geita ili kuvuruga mkutano wa Kikwete. Kilichotokea, Polepole alifungiwa kwenye hotel tu na Hotel hiyo huko geita kuzungukwa na walinzi. Baada ya mkutano wa Kikwete kuisha aliachiwa na kupewa nauli ya ndege kurudi Dar.
Inabidi sasa tujiulize Polepole alisema yeye yupo na viapo viwili, viapo hivyo ni vipi? I know Polepole Personaly siyo kusimuliwa tu. Baada ya kifo cha Magufuli alikubali kuteuliwa kuwa Mbuge na Rais Samia. Baadae alikubali kuteuliwa kuwa Balozi wa Malawi kisha Balozi wa Cuba. Polepole alianzakuona kabisa Ndoto zake kubwa zinaanza kuziwa taratibu. Polepole alikuwa na uadui mkubwa na Ummy Mwalimu.
Cha kujiuliza zaidi, Kwanini huyu Polepole alikuwa kimya baada ya kifo cha Magufuli mpaka ilipofika muda huu? Hao wa akina Polepole ndio walikuwa washauri na wasaidizi wa Magufuli wa karibu sana, walifanya nini kumlinda Magufuli asiuliwe? Polepole alikuwa anaaminiwa sana na Magufuli. Alifanya nini kumlinda au kutoa ushauri?
Kwenye Comment hii naomba niweke swali hili. Nitaendelea kushusha nondo ili watu wanielewe. Kwanini niliamua kubadilika
Ulikula sana sambusa, kalmati, bagia na ubuyu wakati wengine wako bize na masomo.Hatuna haja na kuhangaika wala kumsingizia kagame kwa upuuzi wetu wenyewe utakuwa ukenge
The principle of least cost or optimization states that, individuals and organizations tend to choose the option that achieves their goals while minimizing costs, such as time, money, or effort.We warned Tanzanians long time ago…
View attachment 3499549
Duuu hata wewe mwenyewe mwandishi huwezi elewa huo utumbocha muhimu umeelewa
Wajinga hao yaani mkenya atoke Nairobi aje aandamane Dar sijui kwa mtaji upi wengine humu ni vichaaKindly explain, how would Kenyans be involved in Tanzanian demonstrations?
Mtoe ruto hapo
Mtoe ruto hapo
Kikwete hana akili za ziada. Alimtumbukiza Mama Kizimkazi kwa shughuli maalumu ambayo wametekeleza pamoja na group lao na mtayarishaji wa picha ile ni Membe ambaye tayari ameshatolewa kwenye reli, na wenye siri hizi ni wao hivyo Mama Kizimkazi anajeuri kubwa ya kutenda atakavyo kwakua ni 'Asset Kubwa' wa mtandao ila Mkwere hakujua yangefika huku yalikofika sasa.
Msikilize Lipumba hapa anavyosema, na anachosema kina mshiko.
View: https://x.com/RahmaMwita/status/1987525291883819323
Mama Kizimkazi alianza na mambo ya Uchifu kurudisha na kujenga ukabila bara na Mkwere alitoka hadharani kukemea hilo na likaishia hewani
Rejea: Kikwete ashangazwa kurejewa mikutano ya machifu
So, nidhahiri Maza Kizimkazi yupo kuivuruga Bara kwa udini na mambo mengine.
View: https://x.com/JomanKennedy/status/1970175608291279217
Ndio maana nakwambia hii game tayari tumeshinda kwakua, wazee wa mtandao wameshaona itakuwa soo na Mama Kizimkazi kwakua ni 'Asset' na ni compromised asset ni lazima mshumaa wake uzimike mapema sana.
Ni mirrale akimaliza hii miaka mitano.
Ukiwaambia hapa kuhusu hujuma walizofanya kuwauza waafrika wenzao huwa wanakasirika.Hii role ya kusaboteji Tanzania imesimikwa Kenya na mabeberu yangu uhuru, na wamefanya mengi sana ya hujuma 1960s to 1970s kupeleka mipaka yote kufungwa kwa miaka karibu or zaidi ya kumi.
Wajinga wa hapa JF Wakenya wengi walikuwa hawajazaliwa na hawajui haya.
Mzee achana na huzi propagandaUkiwaambia hapa kuhusu hujuma walizofanya kuwauza waafrika wenzao huwa wanakasirika.
Ni hawa hawa ndiyo walishirikiana na makaburu wa South africa kutaka kumpindua Rene wa Seychelles. Majuzi tuliona walivyopelekwa Haiti kuua waafrika wenzao, halafu mtu kama NairobiWalker utakuta anatetea kabisa polisi wao kutumika kama toilet paper.
Propaganda zipi tena?Mzee achana na huzi propaganda
First of all, I never supported Kenyan police going to Haiti, I don't even know why you're accusing me of that. Secondly, the Kenyan police didn't go to Haiti to kill fellow Africans. They went there to keep peace. The reason I opposed the move is not because they were killing fellow Africans but because they were putting innocent Kenyans lives at risk for no reason.Ukiwaambia hapa kuhusu hujuma walizofanya kuwauza waafrika wenzao huwa wanakasirika.
Ni hawa hawa ndiyo walishirikiana na makaburu wa South africa kutaka kumpindua Rene wa Seychelles. Majuzi tuliona walivyopelekwa Haiti kuua waafrika wenzao, halafu mtu kama NairobiWalker utakuta anatetea kabisa polisi wao kutumika kama toilet paper.
Thank you.Mzee achana na huzi propaganda
Bro,No one said it's solely a Kenyan problem, but it's headquartered in Nairobi. You may be naive and innocent to know how these organizations work, yet we still have to sleep with one eye open.
So you rightfully note that the organizations are from London but still blame Kenya for the same?We do have problems with mtandao, every Tanzanian knows this, the problem is, why do these human rights organizations from London are so concerned about our internal issues? If London truly cares about us, why don't they provide reparations for the harms of colonization?
It's still stupid to ignore the atrocities your government committed and focus on some activists activities. That is exactly what your Mtandao gang wants you to believe so that they can continue chewing you. A large section of Tanzanians are already in support of the government because its propaganda machine has successfully managed to convince them that the problem is Kenya and Western globalists. Just listen to this fool and read some of the comments on the video.We do have internal turmoil, but we must keep a watchful eye on everything coming our way.