President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 31,772
- 89,799
Hawa majirani zetu, tunawajua sana. Kuna kipindi tulikuwa na waziri anaitwa Mungai. Sijui ilikuwaje kuwaje mpaka akapata uwaziri. But is dead.Wakenya wamo kwa kiasi kikubwa sana, on the ground si wengi hivyo but funds kwa activists wote zinatoka kwa mabeberu through Kenya, na online wamejazana Wakenya kuwndesha propaganda wakishirikiana na baadha ya wajinga wasio tambua ni nini hasa Wakenya wanataka.
Hii role ya kusaboteji Tanzania imesimikwa Kenya na mabeberu yangu uhuru, na wamefanya mengi sana ya hujuma 1960s to 1970s kupeleka mipaka yote kufungwa kwa miaka karibu or zaidi ya kumi.
Wajinga wa hapa JF Wakenya wengi walikuwa hawajazaliwa na hawajui haya.
Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama vilifanya kazi nzuri sana, ndani ya dakika 48 magaidi wote walisafishwa.
Wakenya walisumbiliwa na wanamgambo 6 tu pale westgate.
Sasa hivi kila kitu kinaendelea kwa amani. Hili ni funzo kwenye now we upgrade Security. Zinafungwa camera kona zote za Dar es salaam.
Sheria yetu ya kunyonga ianze kufanya kazi sasa.