Mashashola
JF-Expert Member
- Feb 23, 2020
- 4,393
- 5,800
Definitely kulikuwa na hujuma za mali za umma na ilianza kwa treni ya SGR, tatizo ni nani alipanga kuharibu, kwa maslahi ya nani?BRT ya Morogoro road ilifanyiwa hujuma kubwa Sanaa. Ilifanyiwa mashambulizi ya kimkakati na kuhakikisha imekuwa totally paralyzed.
Walihakikisha wamevunja ile mifumo yote ya ku scan Kadi au simu kwenye zile turnstile gates za vituo vyote. Mifumo ya IT na computer zote wamevunja na kuchoma moto. Zile za GPS ili kuweza kukata tickets kwa Apps za simu pia wamechoma. So ni mfumo mzima umeharibika bado kuvunja vunja vioo na milango ya vituoni.
RC wa Dar kasema labda huduma zitarejea upya baada ya miezi 3 lakini sidhani...inaweza chukua zaidi ya miezi 6 kurudi upya. Kwa ule ushambuliaji wa mfumo mzima wa BRT unaona kabisa ule ulikuwa ni mpango mkakati na walikuwa wanajua wanachokifanya ni makusudi haswaa.
Nilikuambia huyu Captain nimemuonea Youtube, sasa nitaongea nini kwa kitu ambacho sina taarifa?Kaka nimekupatia code nyingi sana ili uweze kuzielewa. Nilikuuliza swali, umewahi kuwaza kuwa Captain Tesha yupo wapi? Nikauliza kwanini hatufikirii kuhusu huyo jamaa?
Nililiongea jana hili.Sikumbuki kama ni wewe ulisema Serikali ipo na wajibu wa kulinda raia. Sikutaka tena kuendelea na ku decode encryption. Maana vitu vyote vipo wazi na ushahidi.
Kuhusu huyu msaidizi, mi sina ishu, na nilielewa toka jana kuhusu hayo mambo ya satellite images na hata ulinzi wa kimtandao.Ndio maana kiongozi wa juu kabisa yaani msaidizi wa Putin alitumwa kuja Tanzania.
Urusi wapo na satellites angani wanaona movements zote zinazoendelea.
Ukisoma comments zangu za juzi utaona nimegusia kuhusu Kagame, na sababu za wao kutumia fursa ya tensions zetu za ndani.Jana CDF wa Kenya wamekutana na CDF wa Rwanda baada ya mimi kuweka uzi kuhusu PAKA na ujio wa Russia.
Unganisha dots kaka, we are in war with Kenya and Rwanda. Hizi kwenye media ni prompts to kutengeneza sababu.
Kenyan media wanapiga kelele kuhusu raia wao wameuawa nchini Tanzania, na wengine wamekamatwa, so wanataka kutengeneza vikundi vya kigaidi kwa kisingizio kuwa wanakuja kuwaokoa ndugu zao.
Kuhusu Gwajima kufanya hivyo sijui ila ukiangalia yeye na CCM mtandao unaweza kuona Rostam anauwezo mkubwa na sababu ya kuweza kufanya hivyo zaidi ya Gwajima.Kaa mkao huo huo.
Minong'ono inasema Askofu Gwajima kipindi cha Lowassa (UKAWA) walipeleka mafunzo ya kijeshi vijana zaidi ya 200, walirudi nchini baadae. Vijana hao juzi kati walichukuliwa na inasemekana yalifanyika mafunzo ya vijana kama 500 huko kenya wakiungana na vijana hawa. Vijana hawa 200 wengine walikuwa kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
Katika maelezo yako yote hapa hujawahi kusema chochote kuhusu CCM mtandao, wala Kikwete na genge lake la kina Rostam, kwa nini huwa husemi chochote kuhusu hawa? Kwa nini huoni tatizo lao? Kikwete yupo kwenye serikali sasa kwa maslahi ya nani? Uhusiano wake na genge la akina George Soros pamoja na Klaus Schwab huoni kuna tatizo?Kuna rafiki yangu mmoja ambaye anauza sana kahawa pale magomeni mwembe chai alikuwa akitusimulia kwenye kijiwe cha kahawa, akasema kabla ya uchaguzi miamba hao 200 walipotea wengine hawaonekani kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.
Mange kimambi na Maria Sarungi ni kama vichaa lakini wamekusanya taarifa nyingi mno maana adui zetu wamewaamini.
Uzuri hawa watu tumewazidi hatua nyingi sana kwenye mambo ya Intelligece.
Wao wanatumia Art of Deal Methodoloy sisi tunatumia Art of War Methodology
Art of Deal iliundwa na Trump yenye mbinu zake ni kupiga kelele sana na kujionesha wewe unanguvu, kumtisha adui yako ili aje kwenye meza ya mazungumzo na uweze dictate conditions.
But art of War unahakikisha adui yako unamjua zaidi na unajijua zaidi. Adui yako aone uko mbali kumbe wewe upo karibu mno, na aone upo karibu kumbe wewe upo mbali mno.
Ni hayo tu kaka yangu.
That’s a mini city . Ugandans will envy that from across the border ..😜This will be the second biggest Affordable Housing in Western Kenya after the ones in Kisumu.
Busia Affordable Housing, ground Breaking happened this week.
View attachment 3498892
Kileleshwa developers need to up their game though. Almost every apartment in Kileleshwa and Kilimani have this kind of design. Some creativity is neededMore renders!👏👏 Aya residents 28floors,kileleshwa... for Nairobi hizi zimetosha for today there are dozens more! But ill be feeding you pole pole. Bado tuna omboleza the young brave souls that were taken away from us. RIP comrades!🙏View attachment 3498590View attachment 3498591
Dar watu 145 wameshtakiwa kwa uhaini na mwanza watu 173 makosa mengine. Je kuna hata mtu mmoja kutoka nje?Definitely kulikuwa na hujuma za mali za umma na ilianza kwa treni ya SGR, tatizo ni nani alipanga kuharibu, kwa maslahi ya nani?
Tumeambiwa ni watu kutoka nje, hii inaweza kuwa kweli kwa asilimia kubwa lakini vipi kuhusu hawa CCM mtandao? Kwa nini familia ya Kikwete inashikilia sana serikali hii ya Samia? Mbona Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli hawakufanya hivi? Kwa nini ni yeye tuu?
Hoja nzuri sana, serikali ilikuwa wapi mpaka watu kuingia nchini? Mbona hakuna anayeongelea kuhusu wanamtandao? Je inawezekana ndiyo waliofanikisha hayo?Dar watu 145 wameshtakiwa kwa uhaini na mwanza watu 173 makosa mengine. Je kuna hata mtu mmoja kutoka nje?
Au wauaji walikuwa na shabaha na IDs kuhakikisha kila mgeni wanamuua?
Yaani watu watoke Kenya sijui Rwanda waje kuhujumu BRT what's so special about hio BRT ambayo ishajifia zimebaki barabara na mabanda mabovu tu?
Ipo siku ukweli utajulikana tu.Hoja nzuri sana, serikali ilikuwa wapi mpaka watu kuingia nchini? Mbona hakuna anayeongelea kuhusu wanamtandao? Je inawezekana ndiyo waliofanikisha hayo?
Hawa nao walijipata aje SADC?
Tanzania "haikujipata SADC" sababu ndiyo mwanzishi wa SADCC.Hawa nao walijipata aje SADC?
Na vile sadc Iko na nchi za maana with democracy inaeleweka ukiondoa nchi maskini kina Malawi Zimbabwe Mozambique!!!
Hawa wapigwe ban wajiunge na somalia drc tu
Then Why are they not following SADC footprints, wanafanya mambo yao kiUGANDA sana .Tanzania "haikujipata SADC" sababu ndiyo mwanzilishi wa SADCC, Zimbabwe, Namibia na South Africa walijiunga.
Definitely kulikuwa na hujuma za mali za umma na ilianza kwa treni ya SGR, tatizo ni nani alipanga kuharibu, kwa maslahi ya nani?
Tumeambiwa ni watu kutoka nje, hii inaweza kuwa kweli kwa asilimia kubwa lakini vipi kuhusu hawa CCM mtandao? Kwa nini familia ya Kikwete inashikilia sana serikali hii ya Samia? Mbona Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Magufuli hawakufanya hivi? Kwa nini ni yeye tuu?
Then Why are they not following SADC footprints, wanafanya mambo yao kiUGANDA sana .Tanzania "haikujipata SADC" sababu ndiyo mwanzilishi wa SADCC, Zimbabwe, Namibia na South Africa walijiunga.
Then Why are they not following SADC footprints, wanafanya mambo yao kiUGANDA sana .Tanzania "haikujipata SADC" sababu ndiyo mwanzilishi wa SADCC, Zimbabwe, Namibia na South Africa walijiunga.