Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

you clearly understand and you know exactly what i pointed
You didn't list anything, I asked you to tell us what Kenya started ukashindwa, tena nimekuambia utuambie what Kenya is facing ukashindwa pia.
 
Kaka, andika kiswahili tuu utaeleweka, acha kujikakamua na lugha usiyoiweza.
Kaka Sabotage ipo ni kubwa mno, tukianza kwa wale wenye malori ya kusafirisha mizigo. Kutokea ndani ya nchi mpaka nje ya nchi. Watu wanapata faida kubwa mno kwenye Transportation. Kutoka kwa wenye vituo vya mafuta, wenye malori na viwanda vya magari.

Inatakiwa roho ya chuma kuvuka mtihani huu. Usidhani kelele zote hizi kumchafua Samia ni one direction. Wengine hao hao akina kikwete wanachochea moto wakiwa wamekaa kwa mbali.

Mimi naomba tumpatie support japo kidogo aweze kuuvunja huu ukuta. Ukishalielewa hilo basi utakuwa umefunguka macho.

Sometimes waliochoma vituo vya Mwendo Kasi ni hawa hawa wamiliki wa Daladala.
Kuna mkusanyikoa wa vitu vingi. Wapo kweli wenyelengo la kufanya maandamano ya kweli, but ndani yake kuna hujuma kubwa mno. We need to handle this with care.
 
You didn't list anything, I asked you to tell us what Kenya started ukashindwa, tena nimekuambia utuambie what Kenya is facing ukashindwa pia.
I said, kenyans are not happy with samia because of economy, SOME kenyans NOT all, are mad with tanzania progress hence medias and some politicians try to potray samia as bad so that tanzanians can create self hate

then i said this scenario it also started during magufuli but he was tough thats why it didnt lead to this, samia looks innocent and doesnt reply to every accusation till it has become too much

So all this started after economic changes that started here, i remember at one point citizen tv was ordered to air an appology and it did but all this is well planned economic war and we know it
 
said, kenyans are not happy with samia because of economy,
Which economy when our GDP is almost twice Tanzanian GDP? So which Tanzanian economy will make Kenyans not to be happy with Samia?

SOME kenyans NOT all, are mad with tanzania progress hence medias and some politicians try to potray samia as bad so that tanzanians can create self hate
Just mention one Kenyan Politician that portrayed Samia as a bad a person. I insist on this.
 
Mombasa.

1000107115.jpg
 
Is there any artcaffe in Kenya that is bigger than this one currently coming up in Kisumu apart from the one in Westlands?

This facility located in the compound of United Mall will effectively serve the residents of upcoming Anderson, Lumumba and Makasembo Affordable Housing Projects which are just few meters away.

Image
Thr one at narok is bigger
 
Kaka Sabotage ipo ni kubwa mno, tukianza kwa wale wenye malori ya kusafirisha mizigo. Kutokea ndani ya nchi mpaka nje ya nchi. Watu wanapata faida kubwa mno kwenye Transportation. Kutoka kwa wenye vituo vya mafuta, wenye malori na viwanda vya magari.

Inatakiwa roho ya chuma kuvuka mtihani huu. Usidhani kelele zote hizi kumchafua Samia ni one direction. Wengine hao hao akina kikwete wanachochea moto wakiwa wamekaa kwa mbali.

Mimi naomba tumpatie support japo kidogo aweze kuuvunja huu ukuta. Ukishalielewa hilo basi utakuwa umefunguka macho.

Sometimes waliochoma vituo vya Mwendo Kasi ni hawa hawa wamiliki wa Daladala.
Kuna mkusanyikoa wa vitu vingi. Wapo kweli wenyelengo la kufanya maandamano ya ikweli, but ndani yake kuna hujuma kubwa mno. We need to handle this with care.
Hizi sabotage zipo wazi, wanaomiliki malori na vituo vya mafuta tunawajuwa.

Ni wazi reli inarubuniwa, ndiyo maana hata kipande kuungia bandarini, bado kina sua sua, ili biashara za watu ziendelee. Mambo ya hovyo sana.

Uharibifu wa BRT, ni hao hao wamiliki wa boda boda na dala dala, lakini pia kunaweza kuwa na kundi lililotaka kuharibu maandamano ya amani, kuyafanya yaonekane ya vurugu kama walivyofanya kwenye Occupy Wallstreet, miaka michache iliyopita.

Pia uwezekano wa baadhi ya WaKenya kuhusika upo, ila siyo kwa kiwango cha juu kama hawa watu wetu, wenye uchu wa mali.
 
Kindly explain, how would Kenyans be involved in Tanzanian demonstrations?
 
Wanatakiwa wakae pamoja tukubaliane mwelekeo wa Taifa. Kama biashara zao hizo wabadli namna ya uendeshaji. Dunia haitusubili. Wahafidhina (conservatives) hawataki kukubali mabadiliko makubwa haya yanayoikumba dunia. Watu wengi sasa ni Liberals. Bahati mbaya sana watumishi wakubwa na viongozi kwenye serikali wameshilikiwa na haya makampuni. Anatakiwa pure person mwenye roho ngumu na watu wake wamlinde kwelikweli. Tutatoboa.

Mpango asingeweza kumsaidia Samia he is too mpole, hana roho ngumu. Ninaimani na Emmanuel Nchimbi anaujua mchezo atacheza nao vizuri sana.

Kwa kutumia mpango wa akina Gwajima, Polepole, Heche, Tundu Lisu, Mnyinga hatutaweza kusogea. Hawana Strategy yoyote. Yaani wanakuja kwenye mitandao ya kijamii kuwasema watu badala ya kukaa vikao na kupanga mbinu za maana. HIcho ndicho ninachokisema ni utoto.

Gwajima alipata nafasi nyeti sana yakuwa kwenye NEC ya CCM, Huku katibu wake wa kanisa lake ni kiongozi mkubwa sana ndani ya CDM. Ngwajima alishindwa nini kutumia ushawishi ndani ya NEC ya CCM ku influence kwa akili?

Wanatumia njia za kutishia Rais I don't know ni nani aliwadanganya. Majeshi yote ya ulinzi na usalama yanaapa Kulinda katiba na Rais wa Jumhuri ya Muungano tu.

Akina Mzee Butiku na Warioba wanamdanganya Polepole huku wao ni watiifu 100% wa Ikulu. wale wazee somo la deception wanalijua vizuri sana. Wanaongea na Polepole hivi halafu wanapeleka taarifa Ikulu. Hiyo ni kazi yao mpaka wanakufa.

Nadhani kuna maelezo fulani umenielewa.
 
Kindly explain, how would Kenyans be involved in Tanzanian demonstrations?
Brother tunajua mambo mengi sana, wakati mwingine tunakaa kimya tu kuwastili majirani zetu.
Nikuulize:-
Wakati SGR inaanza wengi waliokamatwa wakiiba nyaya za umeme ni wakenya why? Nani aliyewatuma?
Issue ya maandamano ya juzi, utulivu utakaporejea kwa watu ndipo ukweli utatolewa. Vijana walioshitakiwa ni chambo tu. Lakini wapo wengine nyuma. Hawawqezi kwa sasa kuwataja maana wataleta taharuki kwenye nchi jirani. Just subiri mambo yote utayajua tu, usiwe na haraka.
 
Kindly explain, how would Kenyans be involved in Tanzanian demonstrations?
Through NGOs, which fund groups of people to initiate demonstrations, the type of a color revolution.

In my opinion, the significance of kenyan's involvement, if any, was very minimal. I suspect over 98% of these demonstrations/vandalism were done by Tanzanians who are fed up with this Kikwete shadow presidency.
 
Hizi sabotage zipo wazi, wanaomiliki malori na vituo vya mafuta tunawajuwa.

Ni wazi reli inarubuniwa, ndiyo maana hata kipande kuungia bandarini, bado kina sua sua, ili biashara za watu ziendelee. Mambo ya hovyo sana.

Uharibifu wa BRT, ni hao hao wamiliki wa boda boda na dala dala, lakini pia kunaweza kuwa na kundi lililotaka kuharibu maandamano ya amani, kuyafanya yaonekane ya vurugu kama walivyofanya kwenye Occupy Wallstreet, miaka michache iliyopita.

Pia uwezekano wa baadhi ya WaKenya kuhusika upo, ila siyo kwa kiwango cha juu kama hawa watu wetu, wenye uchu wa mali.
Eeeh hivo ndivo iko.
Pumzika sasa usifanye tukuje tuchome hivyo vituo na mabasi yalibaki 😂 😂 😂
 
Through NGOs, which fund groups of people to initiate demonstrations, the type of a color revolution.

In my opinion, the significance of kenyan's involvement, if any, was very minimal. I suspect over 98% of these demonstrations/vandalism were done by Tanzanians who are fed up with this Kikwete shadow presidency.
Na wanajifanya kuchoma vituo vya Lake Oil ili kumchanganya adui. Tangu lini Maria Sarungi na Mange Kimambi wakamgeuka JK? Sisi watu wenye akili tunausoma tu mchezo.

Unadhani Kikwete Kumwita Rais Samuya ilikuwa ni mistake? Hiyo ilikuwa calculated kwa lengo la kumchafua. Sikia baada ya kumwita hivyo vijana wangapi walifanya challange ya kuongea hivyo?

Kwa kuwa umeanza kuelewa ndio maana mimi namtetea Samia. Amezungukwa na mafisi, ndio maana 90% wanaomsaidia ni watu wa jiwe.
 
Through NGOs, which fund groups of people to initiate demonstrations, the type of a color revolution.

In my opinion, the significance of kenyan's involvement, if any, was very minimal. I suspect over 98% of these demonstrations/vandalism were done by Tanzanians who are fed up with this Kikwete shadow presidency.
You are a r*tarded m*ron.
No amount of protest or vandalism allows the police, the upholders of the rule of law, to go shooting people in their homes.
Protests are dealt with tear gas and water cannons and sprays and finally rubber bullets. Those guilty of vandalism are taken through the judicial system for misdemeanors (not treason), unless you don't have a country.

Bongolala hamna akili kabisa.
Kenyans rose up for a single hawker who was fatally shot by a rubber bullet, na hapa you're being slaughtered like goats, and your anger is directed to those who dared challenge the dictatorship.

Only Gen Z and below will save your brain dead ujamaa heads.
 
Back
Top Bottom