Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Are you aware that 70% of Tanzanians live in slums?
Sio kweli, miji ya Tanzania mingi haina slums, na slums zinapatikana kwenye urban areas tu
Huwezi kuniambia kwamba more than 70% of Tanzanians are living in urban areas. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Achana na data fake
 
Kuna huu mji unaitwa Katoro upo Geita, sidhani hata kama unafika population ya 60,000 people lakini most ya makazi ya watu yapo hivi
Halafu kuna mtu anakuambia 70% ya Watanzania wanaishi kwenye slums wakati Watanzania wanaoishi urban areas (let alone slums) hawafiki hata nusu ya hiyo 70%
FB_IMG_1756881590010.jpg
 
Sio kweli, miji ya Tanzania mingi haina slums, na slums zinapatikana kwenye urban areas tu
Huwezi kuniambia kwamba more than 70% of Tanzanians are living in urban areas. Huu ni uongo wa wazi kabisa. Achana na data fake
Kati yako wewe mziba puncher and World Bank wenye wanasema 70% of Tanzanians live in slums tuamini nani?
 
Kenya Countryside vs Tanzania Countyside.
Nimekuonesha hiyo hospitali kwa sababu juu ya roads unaongea pumba tu. Hizo roads zipo kila kona hapa Tanzania
Do you have overpass, interchange and flyover anywhere in Tanzania outside Dar?
 
Kwani kuwa nayo kuna umhimu gani comparing vile ambavyo tunavyo na kwenu ni ndoto.

Like seriously calavati?

Kwamba singapooor inaringia kalavati
Ndipo walipofika huko kaka hata ka insignificant project wanafurahia tuu maana new projects huko ukiondoa nyumba ni adimu
 
Do you have overpass, interchange and flyover anywhere in Tanzania outside Dar?
Washamba wa flyover kenge nyie. Nilishakuambia flyover zinajengwa kama zinahitajika, sio unajenga kwa ajili ya fashion tu
Miji ya Tanzania sio congested kama Kenya, miji imepanuka na ina barabara nzuri, flyover ya nini tena wakati miji ina barabara za kutosha na hakuna msongamano?
Dar kuna flyovers kwa sababu ya congestion, sio kwa ajili ya fashion
 
Back
Top Bottom