Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Eti uwanja wa Arusha unajengwa porini

“How is that even an insult? 😂 Kujenga stadium maporini ndo akili ya kupanga future. Ardhi tunayo ya kutosha, tunaweza kuupanua mji bila pressure. Huku kwetu hatubananani kama kuku kwenye mabanda.

Ninyi mkiambiwa kujenga kitu kipya lazima mtafute sehemu yenye slums kwanza muanze kubomoa mabanda ya mabati. Ndiyo maana kila siku affordable housing imekuwa kama national prayer. 🤣

Tanzania miji yetu inapumua, inakua kwa upana. Sio kama huko kwenu kila mtu anarundikana Nairobi hadi inakua kama dustbin kubwa ya matope na mabanda. 😅

Sisi tunapanua miji, nyinyi mnapanua slums. Big difference.”
View attachment 3478456
Sasa kujenga uwanja porini ni kupanua mji?😂😂 Mji gani iko hapo mahali uwanja inajengwa?
 
Kwani kuwa nayo kuna umhimu gani comparing vile ambavyo tunavyo na kwenu ni ndoto.

Like seriously calavati?

Kwamba singapooor inaringia kalavati
How would you understand it when you call it kalavati? Hiyo kalavati ndio hamna kwa sasa. Mubahatike mpate leo hiyo kalavati kelele mtapiga usiku na mchana humu ndani vile mnajenga infrastructure za kimkakati!

Viumbe vya ajabu sana
 
Sasa kujenga uwanja porini ni kupanua mji?😂😂 Mji gani iko hapo mahali uwanja inajengwa?
Hii ndo difference ya vision na kukimbizana na congestion. Sisi tukijenga uwanja maporini tunapanua mji, kesho na kesho kutwa barabara, shule, hospitals, na makazi yanajengwa hapo, mji unakua. Huko kwenu hamna option hiyo, mnaanza tu kuzungusha mabanda hadi yaitwe ‘estate’. 😂

Arusha yenyewe tayari ni tourist hub ya East Africa, sasa ongeza Samia Stadium hapo porini—ndiyo namna miji inakuwa planned na smart. Huko kwenu mkijaribu kujenga uwanja mpya lazima mtoe watu kwa slums kwanza. Hata hiyo affordable housing mnayoita miracle ni slum upgrade tu 🚮🚮
 
downtown inanuka mavi 😂😂😂🙌🏻

IMG_8879.jpeg
IMG_8878.jpeg
 
Insha refu ya nini? If you knew kujenga uwanja porini ni kupanua mji, wala hamgejenga Makwapa in the middle of a slum. Mngeijenga kule Mvuti kando ya mashamba ya mihogo
Screenshot_20241018-172414_043910.png
 
Back
Top Bottom