Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Insha refu ya nini? If you knew kujenga uwanja porini ni kupanua mji, wala hamgejenga Makwapa in the middle of a slum. Mngeijenga kule Mvuti kando ya mashamba ya mihogoView attachment 3478497
Hiyo unayoita slum ni nothing tu mbele ya slums za huko Kenya. Hivi binadamu mwenye akili timamu anawezaje kuishi Kibera?
 
How would you understand it when you call it kalavati? Hiyo kalavati ndio hamna kwa sasa. Mubahatike mpate leo hiyo kalavati kelele mtapiga usiku na mchana humu ndani vile mnajenga infrastructure za kimkakati!

Viumbe vya ajabu sana
Sisi na nyinyi nani ni wapiga kelele? Watz tuna miradi mikubwa ambayo nyie hamna na hamuwezi kuwa nayo kwa miaka 100 inayokuja, lkn tunaonesha mara moja then tunafunga story, nyinyi hamna mradi wowote mkubwa mnaofanya but hyo hyo midogo midogo mnayofanya mnapiga kelele kiasi kwamba mtu wa nje akija anaweza akasema kenya inaizidi Tz kwa miradi mikubwa. Wacheni kelele pambaneni mfike pale sisi tupo then ndiyo mpige kelele.
 
Eti tufike mahali mpo? 😂😂😂 Wewe kojoa ulale....oops sorry, I forgot you are a watchman!!
 
😂😂😂😂😂😂

Eti hampumziki how many projects tumepiga ambazo hamuwezi zifikia hata Robo.

Tuanze na

JNHPP

Ndio uturingie haka kakalavati seriously
You will never build such things in Tanzania.
 
Old glories! Those days are long gone 🚮
The days can't be gone when 99% of Kenyan export to Vumbistan is industrialized goods while Vumbistan only export raw materials to Kenya.

Now tell me, between the two which one is industrialized and which one is still in agrerian revolution?
 
Za mirungi?
Em nioneshe your industry sector contribution to the GDP nicheke kidogo
You want me to discuss matters GDP with your tiny GDP? Are you aware that the gap between Kenyan GDP and Tanzania is $50B?
 
Kisumu, Kenya's third City.

Vumbistan kupata barabara kama hizi lazima uende Dar is slum.

1000070095.jpg
 
Back
Top Bottom