Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waongo kwenye kuonesha nini??
Haya
Screenshot_20250923-165128.jpg
Screenshot_20250923-165042.jpg
Screenshot_20250923-165113.jpg
Screenshot_20250923-165321.jpg
Screenshot_20250923-165308.jpg
 
Just because the picture has been zoomed doesn't mean that hiyo mini stadium is not in the bush. Mmejengea tumbili na nyani uwanja.
How is that a bad thing? Infact inasaidia kutanua mji. In future watu watajenga hapo na mji unazidi kuwa mkubwa, sisi huku Tanzania miji yetu tunaprefer horizontal settlement kwa sababu tunayo ardhi ya kutosha. Sio kama huko Kenya kila kitu mnajenga sehemu moja. Miji yenu ipo congested hadi inatia kichefuchefu.
Watu hawana ardhi wanaamua kujenga mabanda mengi ya kama ya nguruwe sehemu moja, No wonder mnahangaika na affordable housing kila kona ya nchi
 
Are you aware that 70% of Tanzanians live in slums because of lack of proper housings?

1000052292.jpg
 
Back
Top Bottom