Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Eti hampumziki how many projects tumepiga ambazo hamuwezi zifikia hata Robo.

Tuanze na

JNHPP

Ndio uturingie haka kakalavati seriously
Tunawaringia coz hamna kama hiyo Tanganyika nzima
 
How is that a bad thing? Infact inasaidia kutanua mji. In future watu watajenga hapo na mji unazidi kuwa mkubwa, sisi huku Tanzania miji yetu tunaprefer horizontal settlement kwa sababu tunayo ardhi ya kutosha. Sio kama huko Kenya kila kitu mnajenga sehemu moja. Miji yenu ipo congested hadi inatia kichefuchefu.
Watu hawana ardhi wanaamua kujenga mabanda mengi ya kama ya nguruwe sehemu moja, No wonder mnahangaika na affordable housing kila kona ya nchi
Are you talking of congestion? You forget this is how 70% of Dar looks like. If this is not congestion, I don't know what is
8029130921_e9a5ab0981_b.jpg
22046498_2155016471191209_111704014321925244_n.jpg
slums-840503.jpg
istockphoto-178507950-612x612.jpg
aerial-view-overpopulated-informal-settlement-260nw-2569430407.jpg
urban-slums-dar-es-salaam-600w-1042505350.jpg
 
Ligi ya kenya mipira tu haitoshi, mipira michache lkn hyo hyo michache unakuta puma, Adidas, nike yote himo. Ilimradi vurugu tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Ligi imeanza ila wachezaji bado wanavaa jezi za msimu uliopita. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
If you look at those statistics, Azam's subscribers in Kenya (before the drop) do not exceed 50,000 people. Lakini kelele tunapigiwa hapa! You'd think there are a million subscribers in Kenya
Mm binafsi nakesha mitandaoni nikuiponda ligi yenu na kuwaambia Azam waachane na ligi jua kali hiyo cz watapata hasara, so mnapoongea hivi mm huwa nafurahi sn mnanipunguzia kazi, and FYI Azam anaondoka huko soon, atabaki kuwauzia decoders lkn udhamini atapiga chini, ligi yenu haina mvuto. Juzi kuna mechi nilicheka sanaa, ligi inachezwa nje yn uwanja hauna majukwaa aisee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hizo hadi Kigoma ipo. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
View attachment 3478402
Nikiwaambia hakuna kitu kipo kenya kikakosa kuwepo Tz wananichukia, haya ona sasa mradi wanaoringia upo kwao mjini sisi upo mpk kigoma ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Mm binafsi nakesha mitandaoni nikuiponda ligi yenu na kuwaambia Azam waachane na ligi jua kali hiyo cz watapata hasara, so mnapoongea hivi mm huwa nafurahi sn mnanipunguzia kazi, and FYI Azam anaondoka huko soon, atabaki kuwauzia decoders lkn udhamini atapiga chini, ligi yenu haina mvuto. Juzi kuna mechi nilicheka sanaa, ligi inachezwa nje yn uwanja hauna majukwaa aisee ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Wewe desperation itakuua bure. You are talking as if you seat in the board of Azam management. Kumbe watchman tu hana mbele wala nyuma.

Talking of exit, this was long overdue and it was only a matter of when, not if. With probably less than 50,000 subscribers in Kenya, there was no way their business in Kenya was making any sense, considering the amount of money they pumped in. Despite sponsoring the Kenyan league in the hope of sprucing up their recorder sales, watu walizikataa kabisa. It's business gone wrong. As simple as that! Azam haina market huku and they've learnt the hard way
 
Nikiwaambia hakuna kitu kipo kenya kikakosa kuwepo Tz wananichukia, haya ona sasa mradi wanaoringia upo kwao mjini sisi upo mpk kigoma ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Show me a stadium in Tanzania with hydraulic tension cable system

Show me any town or city in Tanganyika that has 100% underground power infrastructure (if you know what that means)
 
Eti uwanja wa Arusha unajengwa porini

โ€œHow is that even an insult? ๐Ÿ˜‚ Kujenga stadium maporini ndo akili ya kupanga future. Ardhi tunayo ya kutosha, tunaweza kuupanua mji bila pressure. Huku kwetu hatubananani kama kuku kwenye mabanda.

Ninyi mkiambiwa kujenga kitu kipya lazima mtafute sehemu yenye slums kwanza muanze kubomoa mabanda ya mabati. Ndiyo maana kila siku affordable housing imekuwa kama national prayer. ๐Ÿคฃ

Tanzania miji yetu inapumua, inakua kwa upana. Sio kama huko kwenu kila mtu anarundikana Nairobi hadi inakua kama dustbin kubwa ya matope na mabanda. ๐Ÿ˜…

Sisi tunapanua miji, nyinyi mnapanua slums. Big difference.โ€
Screenshot_2025-09-24-20-00-37-201_com.instagram.android-edit.jpg
 
Eti uwanja wa Arusha unajengwa porini

โ€œHow is that even an insult? ๐Ÿ˜‚ Kujenga stadium maporini ndo akili ya kupanga future. Ardhi tunayo ya kutosha, tunaweza kuupanua mji bila pressure. Huku kwetu hatubananani kama kuku kwenye mabanda.

Ninyi mkiambiwa kujenga kitu kipya lazima mtafute sehemu yenye slums kwanza muanze kubomoa mabanda ya mabati. Ndiyo maana kila siku affordable housing imekuwa kama national prayer. ๐Ÿคฃ

Tanzania miji yetu inapumua, inakua kwa upana. Sio kama huko kwenu kila mtu anarundikana Nairobi hadi inakua kama dustbin kubwa ya matope na mabanda. ๐Ÿ˜…

Sisi tunapanua miji, nyinyi mnapanua slums. Big difference.โ€
View attachment 3478456
Hawajui kuwa hayo maeneo tayari yameshapanda thamani tena uwanja upo sehemu nzuri jirani na airport.
 
Back
Top Bottom