Traxtion
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 7,588
- 15,473
Wewe leta linkKwani hile screenshot nimekuwa Niki share hapa kila siku huwa Huoni?
Wewe leta linkKwani hile screenshot nimekuwa Niki share hapa kila siku huwa Huoni?
This statement alone means that Tanzania is not developed outside Dar, ingekuwa hizo towns zingine are developed already mngeshapata demand ya kujenga those flyovers. Or in other words, watanzania hawamiliki magari.Washamba wa flyover kenge nyie. Nilishakuambia flyover zinajengwa kama zinahitajika, sio unajenga kwa ajili ya fashion tu
Embu compare hiyo picture na slums za kibera et al. Tuone tofauti ya slums na unplanned settlementsAs if you are going to be the last person here to deny Dar is slum pictures View attachment 3478444
Asichokijua ni kuwa we are building a new Arusha city around area hiyo ilipo stadiumEti uwanja wa Arusha unajengwa porini
“How is that even an insult? 😂 Kujenga stadium maporini ndo akili ya kupanga future. Ardhi tunayo ya kutosha, tunaweza kuupanua mji bila pressure. Huku kwetu hatubananani kama kuku kwenye mabanda.
Ninyi mkiambiwa kujenga kitu kipya lazima mtafute sehemu yenye slums kwanza muanze kubomoa mabanda ya mabati. Ndiyo maana kila siku affordable housing imekuwa kama national prayer. 🤣
Tanzania miji yetu inapumua, inakua kwa upana. Sio kama huko kwenu kila mtu anarundikana Nairobi hadi inakua kama dustbin kubwa ya matope na mabanda. 😅
Sisi tunapanua miji, nyinyi mnapanua slums. Big difference.”
View attachment 3478456
Hii ndio tunaita "hasty generalization"This statement alone means that Tanzania is not developed outside Dar, ingekuwa hizo towns zingine are developed already mngeshapata demand ya kujenga those flyovers. Or in other words, watanzania hawamiliki magari.
Hapo mkapa kulikuwa na eneo kubwa lililotengwa kama sports complex miaka ya 70s huko na hapo kulikuwa nje ya mji wakati huo so eneo ni kubwa na bado lipo eneo la kujenga hata two more stadiumsInsha refu ya nini? If you knew kujenga uwanja porini ni kupanua mji, wala hamgejenga Makwapa in the middle of a slum. Mngeijenga kule Mvuti kando ya mashamba ya mihogoView attachment 3478497
Hawawezi kuelewa hawa jinsi miji Tanzania inavyojengwa. Sisi tuko free tuna ardhi kubwa na sio expensive kama kwao, so tunaweza kuweka development anywhere, wamezoea kwao kila kitu kinakaa city centreAsichokijua ni kuwa we are building a new Arusha city around area hiyo ilipo stadium
What's wrong with that? Tumetumia hela zetu. Tuoneshe hapa terminal za Kenya 800km from NairobiThis terminal was built by a Kenyan construction company.
Numbers zenu tumeziona hapo DSTV, AZAM, ZUKU sasa kula chumo hicho toka TCRAAren’t you aware that most Kenyans own pay TV than Tanzania?
Manudactured goods Tanzania 2024 USD 1.92bnTanzanian industrial exports are less than $500M.
The value of Kenyan manufacturing sector in 2024 was $20B. That's 10 times ya Tanzania.Kenya manufactured goods exports ni paltry USD 900m tuu. Tz exports more than twice what kenya exports halafu utasikia huku nyangau akijisifu eti we are more industrialized country in EA kumbe hawajui they are still living in the past glory.
aliewadanganya ni mama ngina 😂😂Hatuna hela yet it's Tanzania that have the most poor people in East Africa?
Umaskini in Tanzania is 26% when by $1, Umaskini in Kenya is 38% when done by $3.5.aliewadanganya ni mama ngina 😂😂
umaskini tanzania ni 26% kenya ni over 38% bado munatafuta mchawi
The most recent data.aliewadanganya ni mama ngina 😂😂
umaskini tanzania ni 26% kenya ni over 38% bado munatafuta mchawi