Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kijana mwingine amekuja nyumbani Yuesiei ya East Africa. Nilikuwa najiuliza why not Singapore ya East Africa?
 
Hivi Teargass, NairobiWalker na Reborn Ktb msanii gani wa music kutoka Kenya unahisi akija Tanzania fans wengi watafurika kwenda kumsikiliza
Nataka tu nijue kama Kenya ina influence kubwa kwa Tanzania kwenye tasnia ya burudani kama tu Tanzania ilivyo na influence kubwa Kenya 🤭
Hakuna msani mkubwa kutoka Kenya ambaye atapanda kwenye sunroof akipita barabara za nchi zingine. Hio tunaita "Aura farming",
 
View attachment 3478091
😂😂😂

Slums hadi cbd ndani
1. Inaonesha MNF square haijakamikika, manaake ni picha ya kitambo sanaa.
2. Huoni kama hayo ni mabanda ya mama ntilie, kipindi kile walikuwa wanahudumia wavuvi wadogo wadogo.

Kwa akili zako ulidhani hayo ni mabanda ya watu kulala kama ambavyo nyie mnalala huko slum city 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250924_145607.jpg
 
1. Inaonesha MNF square haijakamikika, manaake ni picha ya kitambo sanaa.
2. Huoni kama hayo ni mabanda ya mama ntilie, kipindi kile walikuwa wanahudumia wavuvi wadogo wadogo.

Kwa akili zako ulidhani hayo ni mabanda ya watu kulala kama ambavyo nyie mnalala huko slum city 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3478309
Kila kitu chenu kibaya lazima kiwe cha kitambo. Mbona tushazoea? You must find a way to make it look ancient, even if it isn't. The fact remains, that's Dar and those are shanties in your cbd. Mengine yote ni povu!
 
Na itashuka zaidi.
If you look at those statistics, Azam's subscribers in Kenya (before the drop) do not exceed 50,000 people. Lakini kelele tunapigiwa hapa! You'd think there are a million subscribers in Kenya
 
Back
Top Bottom