Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umaskini in Tanzania is 26% when by $1, Umaskini in Kenya is 38% when done by $3.5.

When both countries are placed on a neutral ground of $5.5, Kenya stands at 51% while Tanzania is at 80%.

Siku mtatoka LDC umaskini wenu hautakuwa calculated by $1.

Anyway Kenya's poverty is calculated at this rate which places your at 80%

View attachment 3478601
niletee ya kwenu na ukishindwa kuleta nakuletea mimi 😂😂😂😂😂😂


View: https://x.com/uchumiforum/status/1969467832351039946?s=46
 
niletee ya kwenu na ukishindwa kuleta nakuletea mimi 😂😂😂😂😂😂


View: https://x.com/uchumiforum/status/1969467832351039946?s=46

Your national poverty line is less than $0.7 per day, no wonder mmekuwa ranked the 24th most poorest country in the world 😂😂🤣

1000070405.jpg
 
I thought Tanzanian national poverty line was $1 kumbe ni half of that at $0.6?🤣🤣😂🤣.

Alafu wanataka kushindana na Kenya which has a national poverty line at $2.15.
 
Hapo mkapa kulikuwa na eneo kubwa lililotengwa kama sports complex miaka ya 70s huko na hapo kulikuwa nje ya mji wakati huo so eneo ni kubwa na bado lipo eneo la kujenga hata two more stadiums
I am not concerned about the size of Makwapa land. Kasarani stadium sits on more than 50 acres so don't mention land size here. I said Makwapa is located in the middle of a slum
 
Washamba wa flyover kenge nyie. Nilishakuambia flyover zinajengwa kama zinahitajika, sio unajenga kwa ajili ya fashion tu
Miji ya Tanzania sio congested kama Kenya, miji imepanuka na ina barabara nzuri, flyover ya nini tena wakati miji ina barabara za kutosha na hakuna msongamano?
Dar kuna flyovers kwa sababu ya congestion, sio kwa ajili ya fashion
Napenda unavyojifariji
 
Hawawezi kuelewa hawa jinsi miji Tanzania inavyojengwa. Sisi tuko free tuna ardhi kubwa na sio expensive kama kwao, so tunaweza kuweka development anywhere, wamezoea kwao kila kitu kinakaa city centre
New Arusha city? 🤣🤣🤣🤣 Hebu ambia huyo kilaza mwenzako atuoneshe picha za hiyo new Arusha city
 
Back
Top Bottom