Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,708
- 107,150
Bei Facebook anmelden
Melde dich bei Facebook an, um dich mit deinen Freunden, deiner Familie und Personen, die du kennst, zu verbinden und Inhalte zu teilen.
Alafu mmezidi kwenda chini au sio 🤣🤣🤣🤣🤣You realize you've dropped more points than us don't you?😂
Sasa wewe unaona hizo ni nyumba au vibanda visivyo rasmi wafanyabiashara ndogo soko la Mchikichini??Jee Na hizi?🤣😂😂😂 View attachment 3475140View attachment 3475141
Daima Dar haiwezi kukaribia nairobi kwa wingi wa watu, imagine kanchi kenu ni kadogo lkn mpo zaidi ya 60m, usishangae nairobi kuizidi Dar kwa idadi ya watu.You are becoming so irrelevant. Leo Nairobi imeshinda Dar kwa idadi ya watu? You so desperate!
Naona umeshindwa kutuonesha slum za Nairobi. Angalia mwenyewe hapa. Tanzania nzima hakuna sehemu mbaya kama hii 🤮🤮Yani kabisa unaamini a place like Pipeline which you often call a slum ni moja ya sehemu nzuri Nairobi? Kweli Nairobi ni ya kipekee. Sasa nikikuletea za South C, Lang'ata, Donholm, and other middle income areas utasemaje?
Talking of Uthiru, here it isView attachment 3475356View attachment 3475357View attachment 3475358View attachment 3475359
Do the sprawling uswazis of Dar even come close?
Singapoor wako mbali aisee!! Dah yani wametupita kila idara...😁
View: https://x.com/UchumiForum/status/1968732212901060657?t=HK3mpesXGc0T-NPRoqs-Vw&s=19
alaf city area ni 690km sq ikiwemo nairobi national park na mapori kila kona wapo 6.9m alaf mtu anashangaa 2.5m people kuishi kiberaDaima Dar haiwezi kukaribia nairobi kwa wingi wa watu, imagine kanchi kenu ni kadogo lkn mpo zaidi ya 60m, usishangae nairobi kuizidi Dar kwa idadi ya watu.
View attachment 3475661
Hili liko central Kenya kwa Wagikuyu😅😅Slum lingine hilo, yn hii nchi kushoto kulia ni ma slums tu, slum hili hata sikuwahi kulisikia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3475676
Nilidhani mnajenga BRT lane, kumbe bado mnaendelea kukinga maji kwa ndoo yenye matundu?View attachment 3475339
😍THE Upperhill viaduct, the construction pace has picked up👏