Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,140
- 17,880
I know it pains you that you don't have such in Dar. Kwenu mmezoea uswazi hovels zenye bati zilizoliwa na mchwa.Hiyo miaka yote mnaweka halafu hakuna slums dwellers mwenye uwezo wa kununua hizo . Halafu inakuwaje wasomi mnaibiwa kizembe hivi yaan mnakatwa kwenye mishahara na bado mnatakiwa kununua Tena.
We have the ability to buy that's why such apartments sprout up in Nairobi every single day. Did you learn something about supply and demand in school? Wanunuzi wapo ndio maana zinajengwa, both by the government and private sector.
Nyumba walizojenga wapiga debe Dar and are proud of it 🤣🤣Morethan that imeonekan wakenya wengi ni maskini hawana uwezo wa kujenga kama Tanzania ambapo hata mpiga debe tu anaweza Jenga ila nyinyi mpaka nyumba za mabati
I'd rath rather buy an apartment here than build such shanties above and be proud