Chill
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 571
- 1,384
Na hawa je? 😭😭congratulations for promoting africa and africans👏👏😭Ni aibu ya Dunia haya majaa yanatudhalishaga waafrica mpaka basi
Na hawa je? 😭😭congratulations for promoting africa and africans👏👏😭Ni aibu ya Dunia haya majaa yanatudhalishaga waafrica mpaka basi
Haujapata habari kwamba unatafutwa na mwenzako?🤣🤣🤣🙌mwache aokote walau apunguze hasira😂
okota picha google kwa hasira zaidi😂😂😂Haujapata habari kwamba unatafutwa na mwenzako?🤣🤣🤣🙌View attachment 3475283
na wewe unatiwa makalio🤭Yaan mpaka unatia huruma
Chunga Akina Concordile 101 wasikukamate🤭🤣🤣🤣🙌okota picha google kea hasira zaidi😂😂😂
'Okota picha google kwa hasira zaidi'👇🤣🤣🤣🤣🙌okota picha google kwa hasira zaidi😂😂😂
You are becoming so irrelevant. Leo Nairobi imeshinda Dar kwa idadi ya watu? You so desperate!
Hii picha mnashinda mkishare humu sii ya Nairobi.
I know it pains you that you don't have such in Dar. Kwenu mmezoea uswazi hovels zenye bati zilizoliwa na mchwa.Hiyo miaka yote mnaweka halafu hakuna slums dwellers mwenye uwezo wa kununua hizo . Halafu inakuwaje wasomi mnaibiwa kizembe hivi yaan mnakatwa kwenye mishahara na bado mnatakiwa kununua Tena.
Nyumba walizojenga wapiga debe Dar and are proud of it 🤣🤣Morethan that imeonekan wakenya wengi ni maskini hawana uwezo wa kujenga kama Tanzania ambapo hata mpiga debe tu anaweza Jenga ila nyinyi mpaka nyumba za mabati
Data imetengenezwa na nani?
There are no pit latrines in Nairobi bongolala. Hizi nyumba zote unaona hapa ziko na choo na bafu ndani kitu ambacho hakipo DarKwenu Kenya ni kitu kipya ndo maana unaona kuwa water closet ni ufahari , vipi umeacha kunya kwenye mifuko lini?
Ni India hiyoHii picha mnashinda mkishare humu sii ya Nairobi.
![]()
Hizo picha za Dar ni za zamani sanaMagari yanawezapita karibia maeneno yote 😂😂😂 Alisikika bongolala akisema. Tell us how vehicles can navigate these panya routes View attachment 3475234View attachment 3475235View attachment 3475236View attachment 3475241View attachment 3475246
Now compare with Nairobi and tell us where there's easy access to vehicles
View attachment 3475251View attachment 3475254View attachment 3475255View attachment 3475257View attachment 3475258
Dar is more than you can imagineThere are no pit latrines in Nairobi bongolala. Hizi nyumba zote unaona hapa ziko na choo na bafu ndani kitu ambacho hakipo Dar View attachment 3475324View attachment 3475325View attachment 3475326View attachment 3475327View attachment 3475328
Hivi hii ni ya kukushika kende au?😂😂😂😂😂🙌
Hii story ya picha za Dar tunazoleta humu kuwa za zamani tushazoea. Kitambo mlikuwa mnakana hizo picha na kusema sio za Dar. Siku hizi mnasema ni za kitambo. Tutaelewana tuHizo picha za Dar ni za zamani sana
Anyway, hapa magari yanapita, angalia kwa umakini hizo barabara. Hii ni Aerial photograph
View attachment 3475329
Hii picha inepigwa juu sana lakini barabara zinaonekana. Ni picha ya zamani anyway
View attachment 3475330
Hapa ni Dar sehemu gani?
View attachment 3475332
I'm sure hii 2005 photo, ila barabara bado zinaonekana
View attachment 3475331
Halafu hizo picha za Nairobi ulizoweka umechagua maeneo mazuri ya Nairobi, kwa hiyo huna hoja ya msingi kwa sababu maeneo ya hivyo yapo almost kila mji. Hata Dar yapo mengi sana
Ili hoja yako ilete mantiki ulitakiwa kuleta picha za Kibera na Mathare hapa ndio tuanze kucompare na hizo za Dar. Worst places vs Worst places
Tofauti na hapo unajitekenya na kucheka mwenyewe tu