concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,991
- 15,437
Kuna utofauti wa slums na unplanned settlement zenu ni nyumba ambazo hata vyoo hakuna hata means yakuingiza magari kwa maeneo yote haiwezekani za tanzania magari yanaweza pita karibia maeneo yote na ndo maana ukitafuta the largest slums in the world lazima uzitaje zilizopo nairobiWanadhani wakipost vipicha vya slums ndio hapo wameweza, wamesahu sisi tunajua zipo hao hawajui zipo and thats why wanashikwa na hasira😂😂😂😂😂