Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe unajua hata kitisuru inapatkana wapi hii Nairobi? Hebu onyesha hiyo slum tuone.

Meanwhile, endelea kuumia. More of Kitisuru.
View attachment 3474541View attachment 3474542View attachment 3474543View attachment 3474544
Does mswaki come even close? 😂😂
Kwahiyo ukipunguza angle ndo unadhani utaficha ma slums ya kenya? Nioneshe sehemu yoyote kenya nitakuonesha slum, kitisuru hii hapa ukibisha naongeza angle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇
Screenshot_20250918_154722.jpg
Screenshot_20250918_154336_ChatGPT.jpg
 
🤣😂😂😂narududia tena, tofauti yetu sisi nikwamba tunajua natunakubali zipo changamoto, inhali nyinyi mnajua changamoto zipo lakini mnazificha, so hata ukuje na vipicha millioni hauta mstua hata mbu but mimi nije tu na kipicha Kimoja hasira itawajaaa nakuwachokora hadi mkunduni🤣😂😂😂🙌
 
MTABISHANA HAPA ILA KUNA KI
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dar wale wa Nairobi wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation

Ndugu Jay456watt kutoka Nairobi kama ulivyo dai sasa thread inaanza.
Welcome to the battle.
MTABISHANA HAPA ILA KUNA KITU HAMTASEMA ,DAR YETU NI CHAFU.NA HIZO PICHA ZENYE MNATUMA KWA JUU HAZIONYESHI MABANDA YALIYOJAA BARABARANI YA MACHINGA,PALE KIMARA SAHV HUELEWI HATA UINGILIE WAPI DARAJANI WAFANYABIASHARA WAMEJAA,MITAANI KUCHAFU NDO USISEME,SIJAWAHI KUFIKA NAIROBI ILA MOSHI TU NI PAZURI KULIKO DAR KABLA HATUJAAMUA KUBISHANA NA WATU WA NAIROBI
 
Kwamba matajiri wa Dar wanamiliki punda? Punda? 🤣🤣🤣 Not even horses? 🤣🤣🤣 Yani huko glorified fishing village owning a donkey is a sign of opulence? 😂😂😂
🤣🤣🤣😭Huyu jamaa huwa na kichwa kizuri kweli?ama ni Yale ma fumes ya jetfuel yanamuadhiri akiwa kwenye uskani pale anapochunga gate mbwa wasiingie usiku😂😂😂🙌
 
Kwamba matajiri wa Dar wanamiliki punda? Punda? 🤣🤣🤣 Not even horses? 🤣🤣🤣 Yani huko glorified fishing village owning a donkey is a sign of opulence? 😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom