duh kuna hadi slums za gorofa Salute Nairobi 🫡Kwahiyo ukipunguza angle ndo unadhani utaficha ma slums ya kenya? Nioneshe sehemu yoyote kenya nitakuonesha slum, kitisuru hii hapa ukibisha naongeza angle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣👇👇👇View attachment 3474914View attachment 3474916