Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

"Eti what sport is kenya good at" wakati levels kama hizi hata hawawezi kuota
1000069569.jpg
 
Kumbuka haya mazingira yakiwa huku sii slum ila yakiwa Kenya ni slum. Kwao hakuna slum, ni dreamhouses tu. That is Bongolala logic. 🤣 🤣
cc instanbul
 
Oneni hii "ambulance" ya kisasa na aina yake ikitumika kule Dar wakati wa mkasa. Muathiriwa anabebwa kama gunia la mihogo🤣🤣🤣🤣
New York of Africa ina mambo 😂😂😂

View: https://x.com/Civil_officer/status/1857759496572998029?t=fvf5cbYXPAfNSMtHF-5ERQ&s=19

Yani unapata wabongo miaka nenda miaka rudi wanaishangaa ile Ambulance ya tuktuk ya Lamu utadhani kwao ambulance zote ni mercedes v class kumbe ni kitu cha kawaida sana kwao. Hawa jamaa ni professional pretenders.😂😂😂
 
This is not rural Tanganyika. This is Dar is slum where pupils learn under trees! 😂😂😂
Alafu Kuna kilaza yupo Nairobi anapiga picha za takataka barabarani kule Donholm akishangiliwa na vilaza wenzake

View: https://x.com/HecheJohn/status/1811388036279615696?t=zRq531m2K9lFcWnz8bpSpA&s=19

Tukiwaambia tofauti ya huku na kwao ni kwamba wao ni waficha uchi hawaskii. Kama walimu wamepiga ripota unajua ni reporters wangapi wameshindwa kureport uozo kisa watajipata mashakani? Kama walimu wanaweza piga reporter sasa imagine wafanyakazi wa serikali na wanasiasa watamfanyia nini?

cc Geza Ulole Chamoto
 
Sasa kama wameshindwa ripoti hizo zimepatikanaje? Huwez zuia Kila kitu haya linganisha hizo na uchafu wenu🤣🤣🤣🤣
 
Yani unapata wabongo miaka nenda miaka rudi wanaishangaa ile Ambulance ya tuktuk ya Lamu utadhani kwao ambulance zote ni mercedes v class kumbe ni kitu cha kawaida sana kwao. Hawa jamaa ni professional pretenders.😂😂😂
Ulitaka wasubirie 20 minutes mpaka ambulance itoke muhimbili au ocean road wakati kuna usafiri wa haraka ndo maana tunawambiaga hamnaga akili
 
Back
Top Bottom