Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kama vile nyinyi mnavoishi kwa denial kuwa ni maskini wa kutupwa na mnaishi kama nguruwe tu
Masikini wa kutupwa ukanda huu wanajulika
Screenshot_20220501-110859~2.png
 
Nyinyi mbona mnashindwa kishangilia hiyo gor mahia walau hata muweze kuwalipa hiyo ksh 300,000 .🤣🤣🤣🤣.
Yaan eti mahindi wa premier league kupewa 15,000,000 yaan usd 116,000 watu wenye gdp kubwa Africa mnashindwa kutoa hata hiyo csr ya safaricom ya 250,000 usd.
Kweli nyinyi maskini sana
Ndio maana nikakuambia endeleeni kushangilia Yanga na Simba. That's the only sport you know. Mengine hamna habari nazo and we all saw it even during the just concluded CHAN tournament
 
Charity begins at home halafu wanachemka ,wanataka kbc aoneshe mpira Bure wakati hata gari moja la kufanya live broadcasting hana,
Sema bakhresa ana huruma sana ,ilipaswa akawekeze kwenye league ya Uganda kule na rwanda kule ndo kuna wafuasi wengi Tena soko lingepaa sana kuliko kwa hawa wa makabila
Hii issued ya Azam kuelekea kupokonywa rights za kutangaza KPL umewauma sana 😂😂😂
Jana niliona moja wenu kasrma alipwe pesa aondoke😄😄
 
Vizuri sana , sasa huoni kama most of the trophies unazoclaim ni individual achievements ?
Sio nyinyi hata kulipa kocha tu wa mens football ilikuwa mtihani?
What's is volleyball , yaan mchezo ambao hata tukisema ufuatlie wanaoshabikia ndani ya Kenya wanaweza wasifike 1mil.
Hiyo michezo yote unayoishabikia hakuna mtu yuko interested nayo bongo na tukisema tuwekeze huko ni within two years mtaona nyota tu
Comforting yourself again? 🤣🤣🤣🤣🤣
I like it bongolala. Individual achievements you say? How will you know most sporting events have individual participants when your country doesn't participate in any of them? How is javelin, or swimming, for instance, supposed to be a team event? Bongolala katika ubora wake! 😂😂😂

And now it's about interests? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bongolala, stop hiding behind that word interest. Ni talent hamna. Period!

Talking of that, tell us team even one team event ambayo Tanzania has ever won an Olympic or world tittle in
 
Hii issued ya Azam kuelekea kupokonywa rights za kutangaza KPL umewauma sana 😂😂😂
Jana niliona moja wenu kasrma alipwe pesa aondoke😄😄
Sisi tuanataka anyanganywe furaha yetu ni kuona hapati tuone ni kampuni gani ya kikenya itaweza kuwekeza kwenye hiyo league yenu. Kama kbc tu hata mechi moja alishindwa sembuse kupewa league zima. Quality ya kbc haiwez fikia hata robo ya Azam quality.
Uzuri na fidia mtalipa haha
 
Comforting yourself again? 🤣🤣🤣🤣🤣
I like it bongolala. Individual achievements you say? How will you know most sporting events have individual participants when your country doesn't participate in any of them? How is javelin, or swimming, for instance, supposed to be a team event? Bongolala katika ubora wake! 😂😂😂

And now it's about interests? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Bongolala, stop hiding behind that word interest. Ni talent hamna. Period!

Talking of that, tell us team even one team event ambayo Tanzania has ever won an Olympic or world tittle in
Unataka tujisumbue wakati bado Kuna vitu vya kufanya na ukatengeneza pesa zaidi , hujiulizi kwanini majority ya kundustan wanakimbilia tz kuomba vibarua
 
Unataka tujisumbue wakati bado Kuna vitu vya kufanya na ukatengeneza pesa zaidi , hujiulizi kwanini majority ya kundustan wanakimbilia tz kuomba vibarua
Changing gear now? I like it when you can't handle voice of reason. As I said, continue cheering on Yanga na Simba. That's the only sport you know. Siku mtaanza kung'aa kwenye world stage like we do, kuja kwenye meza ya mazungumzo. Have a good day!
 
Back
Top Bottom