Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila siku tunakumbushwa hapa vile Dar ni kubwa. Ukubwa wake sasa leo imekuwa sumu tena, haaitambuliki. Nyinyi ni viumbe vya ajabu sana!
Kigamboni ni new municipality, ambayo imejengeza at least nusu tu.

Huko Kimbiji ni mbali sana kiasi kwamba bado ni kijijini watu wanalima mashamba tu.

Na kwasaaa watu wanajemga Coast, around Vikindu, Bagamoyo, Kibaha tofauti na Kigambani ambako wengi wanaona kwro kutumia ferry au kulipia toll bridge, Nyerere.
 
Unaandika insha reeefu just to avoid a simple yes or no answer to a simple question. Is Kigamboni in Dar es salaam? Yes or no
 
Yes, Kigamboni is in Dar es Salaam
So hiyo ndio ilikuwa unashindwa kukubali? And why were you denying that those pictures za sijui Kimbiji are not in Dar when Kimbiji is in Kigamboni?

Si Unaona mnayopenda mabishano za kijinga?
 
Mimi nilikuwa sibishani na wewe. Ulikuwa unabishana na mtu mwingine actually
Nimekusaidia tu kuwa Kigamboni ipo Dar, ili nione your next move.
 
You are all cut from the same piece of cloth. Wewe na yule mwingine hamna difference. Mabishano za kijinga tu to to appear to win an argument. The guy maintained Kigamboni haipo Dar just because of some bad pictures of Kigamboni that were posted here.
 
Back
Top Bottom