Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤭🤭🤣🤣njooni muone, zeruzeru amewakaribisha pale Newyork city before atimuliwe arudishwe kwao yemen. Cheki BRT baby!🤣🤭🙌View attachment 3474298View attachment 3474300View attachment 3474301View attachment 3474302View attachment 3474303View attachment 3474305View attachment 3474306View attachment 3474308
Wewe ni kichaa wawapi? Huoni ujenzi unaendelea 👇👇🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250918_044426.jpg
Screenshot_20250918_044459.jpg
Screenshot_20250918_044536.jpg

Alafu kuna mjinga ka like huku anaumia 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Bongolala, vilaza wenzako have shared articles here mentioning Kibera's population at 2.5 million people.

Cha kushangaza ni kwamba, they are not consistent with figures. Kuna wenye wanasema 2 million, Kuna wa 2.5m, Kuna wa 1.5m na Kuna wa 700k people kama wewe hapa sasa. That begs the question; how many people are there in Kibera exactly? Do we settle on 2.5m, 2m, 1.5m or 700k? When someone wants to lie, they should at least choose one lie and stick with it throughout.

But do you want to know the truth? Kibera's population doesn't exceed 250k people.

Kwamba a place with 700k people iwe na wapiga kura 128,000 pekee? Tumia akili angalau kidogo View attachment 3474403
Kichaa wewe, hayo maelezo yako hayana mashiko. Wapiga kura siku zote ni wachache sn na mara nyingi huwa ni watu wa makamo ambao ni wachache, vijana wengi (90%) na watoto plus wazee huwa hawapigi kura. FYI, kibera now imeshatoka kwenye 2.5 mil, imesha triple kitambo that's why ndiyo slum likubwa zaidi duniani kwa sasa, kama unalia lia au nenda kaiondoe kule Google kama ulivyoahidi miaka 7 iliyopita.
 
Kichaa wewe, hayo maelezo yako hayana mashiko. Wapiga kura siku zote ni wachache sn na mara nyingi huwa ni watu wa makamo ambao ni wachache, vijana wengi (90%) na watoto plus wazee huwa hawapigi kura. FYI, kibera now imeshatoka kwenye 2.5 mil, imesha triple kitambo that's why ndiyo slum likubwa zaidi duniani kwa sasa, kama unalia lia au nenda kaiondoe kule Google kama ulivyoahidi miaka 7 iliyopita.
How would a watchman like you have a better reasoning than this? I didn't expect any better
 
Huyo karudi tena na vipicha vyake since 2017, haki ya mama kenya nothing new 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Quote mahali hizo picha zilipostiwa. Maumivu yakizidi muone dakitari
 
Pembeni yake kuna ushuzi wa ma slums, bisha niongeze angle 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Wewe unajua hata kitisuru inapatkana wapi hii Nairobi? Hebu onyesha hiyo slum tuone.

Meanwhile, endelea kuumia. More of Kitisuru.
images - 2025-05-14T192600.299.jpeg
images - 2025-05-14T192531.216.jpeg
images - 2025-05-14T192855.949.jpeg
images - 2025-05-14T191708.672.jpeg

Does mswaki come even close? 😂😂
 
Mwambie aweke link, mbn hajaweka. Kwanza hao donkeys pekee kuwakuta Dar ni anasa, matajiri pekee ndiyo wana donkeys huku Dar na hawatembei hovyo road, Dar sio jiji la mifugo kama slum city mzee.
Kwamba matajiri wa Dar wanamiliki punda? Punda? 🤣🤣🤣 Not even horses? 🤣🤣🤣 Yani huko glorified fishing village owning a donkey is a sign of opulence? 😂😂😂
 
Yani hawa wasenge wangejua jinsi ninavyoombea Azam asitishe mkataba wa kudhamini ligi yao hata wasingeongea, mana kiukweli Azam kaenda kuwaamsha kwenye usingizi mzito, Azam aachane nao hawa mbwa.
Kabla ya ujio wa Azam Tv, michezaji yao ikiombwa videos zao wakiwa wanacheza uwanjani kwa ajili ya mawakala na makocha wa timu mbalimbali kuangalia viwango na skills zao walikuwa hawana videos. 😂😂😂
Ilikuwa ukitaka kuona kiwango cha mchezaji wao itakulazimu uende uwanjani kuwatizama.

Hizi kondoo za humu hawana akili ndio maana hawaoni umuhimu wa Azam Tv.

Wachezaji na wapenda mpira wanafahamu umuhimu wa Azam Tv achana na hawa kondoo wa wivu, chuki na ujinga.
 
Wakatengeneza na coalition of willing. Ati Tanzania anawechelewesha na ni sleeping Giant na wako slow.


Trust me, Rwanda ataunganisha SGR yake Tz ni suala la Muda tu.
Ngoja Barabara ya Rusumo to Lusahunga iishe, ndo kabisa wataamia milele Tz.
mizigo ya Rwanda na Burundi mingi siku hizi inapitia Tanga port amayo ni karibu. wakipitishia mombasa inabidi ipite Tanzania tena gharama inakuwa kubwa na route ya Uganda ni ndefu pia hawana choice.
 
Hao wamekwambia wana maisha magumu??
Jamii kama hizo ziko kila mahali ni cultural conservatives hawabadiliki they like their tradition. Huko australia utawakuta Aborigines, US utawakuta Red Indians, Brazil utawakuta Yanomamo na Katapo Amazon forest. Hata huko kwenu kuna Samburu people tunawajua vizuri tuu.
 
Usiwe unasahau kumeza methadone makuView attachment 3474281
These guys are really dirty inaelekea hata miili yao itakuwa michafu sana sio kwa mazingira hayo uchafu everywhere. ingekuwa uchafu huu uko kibera ama kwenye slums nyingine ingekuwa understandable lakini literally uchafu uko everywhere mpaka CBD.
 
Back
Top Bottom