Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Taarifa imesema who Can't afford? Kumbe hamuwezi afford Azam asee ndio mnataka Free KBC?
Hata hiyo kbc yenyewe haina resources za kuonesha hiyo league mpaka wategemee serikali iwaboost , hawana magari ambayo yanaweza Fanya live broadcasting hata sehemu zile sehem ambazo haziwez fikika. While Azam anauwezo wa kubroadcast hata mechi nne kwa wakati mmoja maana resources zipo .
Hawa ni maskini ambao Wana mdomo Azam akijitoa hakuna media itaweza hata kutoa hiyo 1.bil ksh ya media rights , Tena yeye ilikuwa mechi 4 tu kwa group
 
Tukiwaambia tofauti ya huku na kwao ni kwamba wao ni waficha uchi hawaskii. Kama walimu wamepiga ripota unajua ni reporters wangapi wameshindwa kureport uozo kisa watajipata mashakani? Kama walimu wanaweza piga reporter sasa imagine wafanyakazi wa serikali na wanasiasa watamfanyia nini?

cc Geza Ulole Chamoto
Exactly. Living in denial and oppressing dissenting voices/people who openly come out to call out he government
 
Mostly ya hizo games ni kazi ya individual personels na hiyo ni sababu ya njaa kuwa Kali , ukija kwenye issue teams kwa michezo yote mko nyuma. Na usikute hata hiyo nauli yenyewe wamechangiwa na ndugu.
Napenda jinsi mnavyojifariji watanganyika 🤣🤣🤣

Unasema michezo tuko nyumba wakati sisi ni taifa la pili duniani kwenye jedwali huko Tokyo kwa sasa!

Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya raga has been participating in World Series sijui mwaka wa ngapi Sasa na ishawahi shinda taji la dunia! Nyinyi mnajuwa hata rugby huchzwaje?

Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya taifa ya volleyball ya wanawake is the most successful team in the African continent! Do you even have a national volleyball team?

Tuko nyumba kimichezo wakati we've had world beaters in Swimming (Google Jason Dunford)

We've had world beaters in Javelin (again Google Julius Yego). He's a former world champion and currently ranks no. 5 in the world. He just stormed into finals in Tokyo. Do Tanzanians even know what javelin is?

Tuko nyuma kimichezo wakati our own Angela Okutoyi became the first East African to win a tennis Grand Slam championship. Do Tanzanians even know what a Grand Slam is?

And lastly, do you know Kenya is the most decorated African country in the Olympics?

Nyinyi shangilieni Yanga na Simba muache kutupigia kelele
 
Hata hiyo kbc yenyewe haina resources za kuonesha hiyo league mpaka wategemee serikali iwaboost , hawana magari ambayo yanaweza Fanya live broadcasting hata sehemu zile sehem ambazo haziwez fikika. While Azam anauwezo wa kubroadcast hata mechi nne kwa wakati mmoja maana resources zipo .
Hawa ni maskini ambao Wana mdomo Azam akijitoa hakuna media itaweza hata kutoa hiyo 1.bil ksh ya media rights , Tena yeye ilikuwa mechi 4 tu kwa group
Hawa ni wehu tu, usasikia Charity Begin at home like Will Paul yuko wapi sasa?
 
Napenda jinsi mnavyojifariji watanganyika 🤣🤣🤣

Unasema michezo tuko nyumba wakati sisi ni taifa la pili duniani kwenye jedwali huko Tokyo kwa sasa!

Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya raga has been participating in World Series sijui mwaka wa ngapi Sasa na ishawahi shinda taji la dunia! Nyinyi mnajuwa hata rugby huchzwaje?

Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya taifa ya volleyball ya wanawake is the most successful team in the African continent! Do you even have a national volleyball team?

Tuko nyumba kimichezo wakati we've had world beaters in Swimming (Google Jason Dunford)

We've had world beaters in Javelin (again Google Julius Yego). He's a former world champion and currently ranks no. 5 in the world. He just stormed into finals in Tokyo. Do Tanzanians even know what javelin is?

Tuko nyuma kimichezo wakati our own Angela Okutoyi became the first East African to win a tennis Grand Slam championship. Do Tanzanians even know what a Grand Slam is?

And lastly, do you know Kenya is the most decorated African country in the Olympics?

Nyinyi shangilieni Yanga na Simba muache kutupigia kelele

Vizuri sana , sasa huoni kama most of the trophies unazoclaim ni individual achievements ?
Sio nyinyi hata kulipa kocha tu wa mens football ilikuwa mtihani?
What's is volleyball , yaan mchezo ambao hata tukisema ufuatlie wanaoshabikia ndani ya Kenya wanaweza wasifike 1mil.
Hiyo michezo yote unayoishabikia hakuna mtu yuko interested nayo bongo na tukisema tuwekeze huko ni within two years mtaona nyota tu
 
Napenda jinsi mnavyojifariji watanganyika 🤣🤣🤣

Unasema michezo tuko nyumba wakati sisi ni taifa la pili duniani kwenye jedwali huko Tokyo kwa sasa!

Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya raga has been participating in World Series sijui mwaka wa ngapi Sasa na ishawahi shinda taji la dunia! Nyinyi mnajuwa hata rugby huchzwaje?

Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya taifa ya volleyball ya wanawake is the most successful team in the African continent! Do you even have a national volleyball team?

Tuko nyumba kimichezo wakati we've had world beaters in Swimming (Google Jason Dunford)

We've had world beaters in Javelin (again Google Julius Yego). He's a former world champion and currently ranks no. 5 in the world. He just stormed into finals in Tokyo. Do Tanzanians even know what javelin is?

Tuko nyuma kimichezo wakati our own Angela Okutoyi became the first East African to win a tennis Grand Slam championship. Do Tanzanians even know what a Grand Slam is?

And lastly, do you know Kenya is the most decorated African country in the Olympics?

Nyinyi shangilieni Yanga na Simba muache kutupigia kelele
Hawa ni wehu tu, usasikia Charity Begin at home like Will Paul yuko wapi sasa?
Charity begins at home halafu wanachemka ,wanataka kbc aoneshe mpira Bure wakati hata gari moja la kufanya live broadcasting hana,
Sema bakhresa ana huruma sana ,ilipaswa akawekeze kwenye league ya Uganda kule na rwanda kule ndo kuna wafuasi wengi Tena soko lingepaa sana kuliko kwa hawa wa makabila
 
Kipindi Cha chan kujaza kauwanja ka 45,000 Tena kwa 200 ksh yaan 4000 waliona kama wako peponi imekuja simba,yanga na ngao ya jamii ticket zimeuzwa 350ksh minimum na watu wamekosa na kiwanja ni watu 62,000 bei ya juu kabisa ilikuwa ni 30,000ksh na bado ziliwahi jaa. Eti Leo wanataka kujiringanisha wakati derby yao tu ukiweka vip ya 15,000 hupat mtu
 
Napenda jinsi mnavyojifariji watanganyika 🤣🤣🤣

Unasema michezo tuko nyumba wakati sisi ni taifa la pili duniani kwenye jedwali huko Tokyo kwa sasa!

Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya raga has been participating in World Series sijui mwaka wa ngapi Sasa na ishawahi shinda taji la dunia! Nyinyi mnajuwa hata rugby huchzwaje?

Tuko nyumba kimichezo wakati timu yetu ya taifa ya volleyball ya wanawake is the most successful team in the African continent! Do you even have a national volleyball team?

Tuko nyumba kimichezo wakati we've had world beaters in Swimming (Google Jason Dunford)

We've had world beaters in Javelin (again Google Julius Yego). He's a former world champion and currently ranks no. 5 in the world. He just stormed into finals in Tokyo. Do Tanzanians even know what javelin is?

Tuko nyuma kimichezo wakati our own Angela Okutoyi became the first East African to win a tennis Grand Slam championship. Do Tanzanians even know what a Grand Slam is?

And lastly, do you know Kenya is the most decorated African country in the Olympics?

Nyinyi shangilieni Yanga na Simba muache kutupigia kelele
Nyinyi mbona mnashindwa kishangilia hiyo gor mahia walau hata muweze kuwalipa hiyo ksh 300,000 .🤣🤣🤣🤣.
Yaan eti mahindi wa premier league kupewa 15,000,000 yaan usd 116,000 watu wenye gdp kubwa Africa mnashindwa kutoa hata hiyo csr ya safaricom ya 250,000 usd.
Kweli nyinyi maskini sana
 
Back
Top Bottom