Wakatengeneza na coalition of willing. Ati Tanzania anawechelewesha na ni sleeping Giant na wako slow.zile kelele za kwamba Rwanda ni trading partner wao zi wapi?
Sasa kwa vivutio vya utalii huwezi kufananisha kati ya Kenya na Tanzania. Tanzania ina vivutio vingi kuliko KenyaView attachment 3474171View attachment 3474172View attachment 3474173View attachment 3474174
😍'Kenya kuna masai mara pekee yake' shut up!😂😂😂😂🫵
www.habitatforhumanity.org.uk
Today Kibera doesn't have 2.5 million people? Desperate times!🤣🤣Hadi hii 2025 Kibera inatajwa kuwa moja ya slums kubwa sana duniani.
Singapore ina slums kuliko nchi yoyote East Africa isipokuwa tu raia wake wana kamdomo sana 😆😆
![]()
The World's Largest Slums: Dharavi, Kibera, Khayelitsha & Neza
While 5.7 million people live the five biggest slums in the world, this is only just a drop in the ocean. An estimated 1.6 billion...www.habitatforhumanity.org.uk
Wanasemaga wana middle class kubwa kuliko nchi zote East Africa.Kumbe they can't afford Azam Tv! 😂😂😂
Village life in Kenya is way worse than this
Kibera ina watu 700,000. Na hiyo ni slum moja tu ***** 😆😆Today Kibera doesn't have 2.5 million people? Desperate times!🤣🤣
Hao wamekwambia wana maisha magumu??🤭😂😂😂Nicxie , imagine hii ndio wanatuambia ndio nchi pekee in the whole of Africa yenye asali na maziwa 🤭🙌...
View attachment 3474238View attachment 3474239View attachment 3474241View attachment 3474242
😂😂tofauti ya sisi na nyinyi nikuwa tunajua na tuna expose challenges zinazo face nchi yetu ili kupush serikali iwajibike, on the other hand nyinyi mko In denial mnaficha na hamkubali challenges mnazo pitia Kama nchi that's why hua mnapatwa na hasira nyingi sana mkiwa exposed. while sisi mki post mashida yetu hatustuki cause hizo habari ni sisi wenyewe tumezifuchua.Village life in Kenya is way worse than this
😂😂😂so mpwimbe, is kigamboni in and part of dar es salaam? Yes or no...Hii ni Kigamboni, mbali kabisa Kimbiji.
Kigamboni is almost equal in size with Nairobi county.
View attachment 3474122