Marcelly
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 3,156
- 9,576
New York of Africa 😂😂🤣🤣🤣Kama NewYork mwanangu🙌...
Kumbe they can't afford Azam Tv! 😂😂😂Mbona kabla ya hapo alipewa mkataba wa free to air akashindwa tangaza hata mechi moja🤣🤣🤣🤣🤣.
Tunasubiri kuona kbc itakapota 1bil ksh kukuza league ya Kenya. Mtahangaika wee ila bado mtarudi kupiga magoti kwa Azam maana hakuna media within east africa Inaweza kufanya live coverage kwa kutumia resources zake ikafanikiwa.
Kbc haina channel special kwa sports while kuna Azam sports1 - 4.
Ila tushawazoea ni wazee wa kelele tu
Wanataka vya Bure , kama kbc anauwezo si awe ananunua mechi kupitia Azam aoneshe kama ilivyo tbcKumbe they can't afford Azam Tv! 😂😂😂
Sasa nimeelewa 😂😂😂Vlogger uyo asikusumbue, wakenya 90% wamekimbilia kazi ya kuwa vlogger baada ya ukosefu wa ajira kule kwao.
Hii ni Kigamboni, mbali kabisa Kimbiji.View attachment 3474013View attachment 3474014View attachment 3474015View attachment 3474016
🤣🤣🤣so haya ni madumu ya mafuta sio!? Watu wangu oneni madumu ya mafuta kule Newyork city with BRT😂😂😂😂🙌...
Main sponsor wa KPL ashasema more matches should be broadcasted at KBC because Kenyans lack Azam decoders. The writing is on the wall.
View: https://x.com/pepeta_ke/status/1967970553089708080?t=HubXxKTyPrIR0KwR6nvezA&s=19