DART ina viongozi viazi sana. Mtu kama Kindamba hajawahi kufanikiwa popote paleSi walisema hao mofat cjui nani nani watapewa route 1? Zen route nyingine wapewe wengine ili kupima performance? Iweje waanze kuchukua na route nyingine? Hapa kuna kitu hapa, mwishowe watachukua route zotee alafu yarudi yale yale.