Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


20,000 per month translates to $5 per day. Let's see how Tanzania fairs in that regard.

When you put Tanzania in that category of $5 then Tanzanian rate will be 80%

1000061322.jpg
 
Hii issue ya highrises walishakosa hamu kabisa, hawataki hata kulitaja
😂😂😂unakumbuka zile Enzi 2014 ya the 3 mtungi look alike blue towers?... hii ma kinjikitile ilikua na makelele nyingi sana " ati tunawapumulia mgongoni" shut up! 🤣🤣 sahi wana pita kimya,kimya...
 
Siku hizi wanasema kwamba gorofa sio kipimo cha maendeleo 😂😂😂
kuna kienyeji flani toka sanaa capital of yemen, content iliisha ikabaki ametafuta picha za kibera na kenyans complaining of bad governance pale x, ili atafute vile anaweza jifuta machozi😂😂😂 ...ina sikitisha sana, kule unadinywa na Israel huku unadinywa na kenya😭🤣🤣🤣...
 
Back
Top Bottom