Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The post is about Kenya's neighbours. You should defend country and not China, ama wewe ni Mchina na hatujui?
Umepost data ya dunia nzima so lazima tutest tuone kama ni Believable source
Kama hiyo map yako inadanganya kuhusu China basi haishindwi kudanganya kuhusu Kenya na majirani zake
 
View attachment 3471474View attachment 3471471
A moment ago nimetoka kutumia usd 510 kwa ajili hizi takataka hapa,kwa ujuha unaamini nina pair 1 ya kiatu,maku ungeingia kwenye 18 za yule pastor shakahola saa hizi ungekua kuzimu instead off kulala kwenye nyumba za bati,maku niiache sasa nile music kutokea hapa kwa mzee netanyahu,hasira zako za mlo m1 hapo kibera ziishie huko huko maku wwView attachment 3471483
😂😂😂Wewe kijana! ... nimekuambia relax! Nimeshapiga order pale Bata, unaletewa kiatu kipya cha Adidas. There is no need of bangi na hasira nyingi because you can't afford new shoes, so relax my guy we can be friends sawa?!😂😂😂...
 
Pambana kwanza uweze kuaffoard milo mi3 kwa siku na utoke hapo kibera 😃
 
Didn't you say that wewe hapo Tandale unaongea pure Kiswahili? Ama Sasa unakana maneno yako tena?
Unaelewa Kiswahili wewe? Yani natetea hoja yangu wewe unasema nakana maneno? Hebu soma kwa umakini nilichoreply uelewe. Ukishindwa sema nikueleweshe kwa Kiingereza
 
Sasa umehamisha goli kutoka mijini hadi vijini!? It's no longer about towns but villages now! Bongolala, I know how desperate you are but do you know I can spam this thread with poverty images from rural Tanganyika hadi saa sita usiku?
Hakuna lodwar mjini wacha kuongopa.
 
Umepost data ya dunia nzima so lazima tutest tuone kama ni Believable source
Kama hiyo map yako inadanganya kuhusu China basi haishindwi kudanganya kuhusu Kenya na majirani zake
So siku hizi dunia nzima inaitwa Kenya’s Neighbors? No wonder you are a Primary School dropout.
 
Back
Top Bottom