Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No road in East Africa has ever come close to rivaling Thika Road.
1000057982.jpg
 
Walikuwa wanatamba kujaza uwanja kwa 200 afcon wakaona wamefika.
Hesabu ya simba
Mzunguko 7,000
VIP C 20,000
VIP B 30,000
VIP A 100,000
Platinum 250,000
Tanzanite 350,000
Kwa hivi viingilio mauzo ya simba day ni above 700mil au ksh 35mil
The highest gate kwa Kenyan league ilikuwa 7.9 mil
Mauzo ya jezi tu kwa ajili ya maandalizi ya simba day ndo bajeti ya KPL kwa mwaka mzima
Kiongozi wa bandari jana kasema,mdhamini m1 tu wa Yanga gharama yake inadhamini vilabu vyote vya ligi ya ukunyan,Yanga ana wadhamini zaidi ya watano
 
Back
Top Bottom