Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mzalendo wa ukweli 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Issue wasiotembea sasa wanaoota gdp na currency
 
🤣😂😂😂Kiatu Kimoja hakikanyagi chawa, jaribu basi u upgrade wardrobe chokoraa. Alafu punguza hasira nanii🤣😂😂...
PXL_20250913_175128970.jpg
PXL_20250913_175715995.PORTRAIT.jpg

A moment ago nimetoka kutumia usd 510 kwa ajili hizi takataka hapa,kwa ujuha wako unaamini nina pair 1 ya kiatu,maku ungeingia kwenye 18 za yule pastor shakahola saa hizi ungekua kuzimu instead off kulala kwenye nyumba za bati,maku niiache sasa nile music kutokea hapa kwa mzee netanyahu,hasira zako za mlo m1 kwa siku hapo kibera ziishie huko huko maku ww
PXL_20250913_175342397.jpg
 
Lodwar yenyewe sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 3471402View attachment 3471403View attachment 3471404
Nyie wakenya ni mafukara sanaa, ni vile tunawafariji tu hapa. Let me give you a simple home work, nitafutie sehemu ya lodwar tofauti na hiyo road iliyokatiza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Sasa umehamisha goli kutoka mijini hadi vijini!? It's no longer about towns but villages now! Bongolala, I know how desperate you are but do you know I can spam this thread with poverty images from rural Tanganyika hadi saa sita usiku?
 
Lugha gn anaongea huyu mkora? Amepata smartphone juzi naye kajoin jf, hata lugha yake inaonesha kabisa ni mkibera huyu, wenzie wote tumewafunza adabu na Kiswahili fasaha, bado huyu mkora, atanyooka tu mana hiki Kiswahili anachoongea kilikuwa cha Nicxie na wanusa gundi wengine humu, but nowadays wanajitahidi kwenye lugha.
I can say the same thing about you who couldn't construct two English words and still remain comprehensive
 
Ni kwa sababu Kenya mnapoongea mnachanganya Kiingereza na Kiswahili. Huku Tanzania tunaongea pure Swahili, yani ni Kiswahili muda wote
There's nothing like pure language in the world bongolala. Hata hii Kiswahili unachojivunia has borrowed a lot from Arabic. Wacha kuropokwa
 
There's nothing like pure language in the world bongolala. Hata hii Kiswahili unachojivunia has borrowed a lot from Arabic. Wacha kuropokwa
Wewe unaelewa maana ya pure Kiswahili? Jua tofauti kati ya pure Bantu na pure Kiswahili
 
Back
Top Bottom