Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂😂😂Wewe kijana! ... nimekuambia relax! Nimeshapiga order pale Bata, unaletewa kiatu kipya cha Adidas. There is no need of bangi na hasira nyingi because you can't afford new shoes, so relax my guy we can be friends sawa?!😂😂😂...
Pambana kwanza uweze kuaffoard milo mi3 kwa siku na utoke hapo kibera 😃
 
Didn't you say that wewe hapo Tandale unaongea pure Kiswahili? Ama Sasa unakana maneno yako tena?
Unaelewa Kiswahili wewe? Yani natetea hoja yangu wewe unasema nakana maneno? Hebu soma kwa umakini nilichoreply uelewe. Ukishindwa sema nikueleweshe kwa Kiingereza
 
Sasa umehamisha goli kutoka mijini hadi vijini!? It's no longer about towns but villages now! Bongolala, I know how desperate you are but do you know I can spam this thread with poverty images from rural Tanganyika hadi saa sita usiku?
Hakuna lodwar mjini wacha kuongopa.
 
Umepost data ya dunia nzima so lazima tutest tuone kama ni Believable source
Kama hiyo map yako inadanganya kuhusu China basi haishindwi kudanganya kuhusu Kenya na majirani zake
So siku hizi dunia nzima inaitwa Kenya’s Neighbors? No wonder you are a Primary School dropout.
 
Nilichogundua ni kwamba una IQ ndogo sana. Wewe ni very slow learner tena kilaza kabisa. Najitahidi kuweka vitu wazi lakini ubongo wako umeganda, huelewi kitu. Na mimi safari hii siwezi kaa narudia vitu vilevile
 
How can a Loliondo Primary School dropout tell The University Of Nairobi graduate that he has a low IQ? Do you even know the definition of IQ?

Difference between you and me is that your are a class 2 dropout out while I’m a degree holder of Bachelor of Science in Microbiology and Biotechnology.
 
Unaelewa Kiswahili wewe? Yani natetea hoja yangu wewe unasema nakana maneno? Hebu soma kwa umakini nilichoreply uelewe. Ukishindwa sema nikueleweshe kwa Kiingereza
I am not here to be taken in rounds in stupid arguments. At least you got my point that there isn't any language in the world that can claim to be pure. Even English itself is not a pure language; it has borrowed heavily from Latin and other languages. Wewe endelea kuongea 'pure' Swahili hapo Tandale
 
How can a Loliondo Primary School dropout tell The University Of Nairobi graduate that he has a low IQ? Do you even know the definition of IQ?

Difference between you and me is that your are a class 2 dropout out while I’m a degree holder of Bachelor of Science in Microbiology and Biotechnology.
Lol, so that's your excuse for being dumb 😂😂
Who told you that I'm a school dropout idiot. The difference between me and you is that you are dumb, low IQ person and slow learner with just older age than me, that's why you have Bachelor Degree
For your information, I'm going to start a Bachelor Degree in Mechanical Engineering in November this year and unlike you, I won't be getting the GPA below 4.0 🚮🚮🗑️
You are bragging about Bachelor of Science in Microbiology, do you think I care? Africa has a lot of degree holders but for you, unahisi ni kwamba upo peke yako. Wakenya ni washamba sana 😆😆
 
I am not here to be taken in rounds in stupid arguments. At least you got my point that there isn't any language in the world that can claim to be pure. Even English itself is not a pure language; it has borrowed heavily from Latin and other languages. Wewe endelea kuongea 'pure' Swahili hapo Tandale
Hata wewe umeelewa niliposema tunaongea pure Swahili. Ni basi unaona wivu tu kwa kuwa hamna lugha yenu wenyewe
Mnaongea English ya wazungu na Kiswahili chetu
 
"Kiswahili chenu"? Wewe ni dwanzi sana. Itakuwaje chenu wakati neno lenyewe "Swahili" comes from the Arabic word sawāḥilī, meaning "of the coast"? Visit your history books bongolala. You'll realize you don't know anything about Kiswahili "chenu"

Kiswahili has borrowed almost 40% of its vocabulary from Arabic, just in case you didn't know so don't claim it to be chenu.
 
It's not true. Swahili borrowed 30% from Arabic and not 40%
In fact most words borrowed from Arabic are the least used and when Swahili borrowed them, we made them sound more Bantu, than Arabic
 
Don't hide behind the figures to remain relevant. Even if it borrowed only 2% that one doesn't make it pure.

You admit that Swahili borrowed up to 30% from Arabic and at the same time say the words are least used? Are you even listening to yourself?

Words like Rais, dini, waziri, hesabu, siasa, raia, taifa, serikali, katiba and many others are used in everyday Swahili conversations but are all derived from Arabic and you are here telling us BS! Cut that crap and continue speaking "pure Swahili"
 
Back
Top Bottom