Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

😂Kumbuka we are dealing with descendants wa wale walioamini kinjikitile Ngwale, mwishowe wakapigwa risasi za matako😂😂😂😂 so waelewe brother .
Maku si juzi tu mlikua mnajikusanya kwa yule pastor wa shakahola,unakashifu kitu cha miaka zaidi ya 80 iliyopita while huko ukunyan ni juzi maku ww
 
Hapo hujawaambia Kila team inayoshiriki NBC premier inakusanya 1.1bil kutoka Azam awe ameshindwa au laah acha wao waendelee kununua visumbuz vya dstv wakitegemea mpira wao kukua
Mkuu asilimia kubwa ya wanusa gundi nowadays wanatumia azam decoder, usisikie maneno ya mnuka nnya, anajaribu kujifariji tu. Hakuna mkenya alitazama Chan kwa kutumia tv yao ya taifa cz ni analog, wakenya wote wanatumia Azam kwa sasa watake wasitake, hawana choice.
 
Lodwar in northern Kenya ingekuwa huko kwenu ingeshapewa jiji kitambo sana View attachment 3471274
Lodwar yenyewe sasa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250913_190400_Google.jpg
Screenshot_20250913_190455_Google.jpg
Screenshot_20250913_190617_Google.jpg

Nyie wakenya ni mafukara sanaa, ni vile tunawafariji tu hapa. Let me give you a simple home work, nitafutie sehemu ya lodwar tofauti na hiyo road iliyokatiza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
😂😂😂unakumbuka zile Enzi 2014 ya the 3 mtungi look alike blue towers?... hii ma kinjikitile ilikua na makelele nyingi sana " ati tunawapumulia mgongoni" shut up! 🤣🤣 sahi wana pita kimya,kimya...
Lugha gn anaongea huyu mkora? Amepata smartphone juzi naye kajoin jf, hata lugha yake inaonesha kabisa ni mkibera huyu, wenzie wote tumewafunza adabu na Kiswahili fasaha, bado huyu mkora, atanyooka tu mana hiki Kiswahili anachoongea kilikuwa cha Nicxie na wanusa gundi wengine humu, but nowadays wanajitahidi kwenye lugha.
 
Maku si juzi tu mlikua mnajikusanya kwa yule pastor wa shakahola,unakashifu kitu cha miaka zaidi ya 80 iliyopita while huko ukunyan ni juzi maku ww
🤣😂😂😂Kiatu Kimoja hakikanyagi chawa, jaribu basi u upgrade wardrobe chokoraa. Alafu punguza hasira nanii🤣😂😂...
 
Lugha gn anaongea huyu mkora? Amepata smartphone juzi naye kajoin jf, hata lugha yake inaonesha kabisa ni mkibera huyu, wenzie wote tumewafunza adabu na Kiswahili fasaha, bado huyu mkora, atanyooka tu mana hiki Kiswahili anachoongea kilikuwa cha Nicxie na wanusa gundi wengine humu, but nowadays wanajitahidi kwenye lugha.
😂😂Wacha kazi pale warehouse wanabe airport haina pesa, kuja unichungie gate na unilishie umbwa nitakulipa I swear🙏🤣🤣...
 
Back
Top Bottom