Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahio JKIA na kelele zoote imeizidi Zanzibar flights 16 tu?
Na Bado ni connecting airport. Kenya airways inalazimisha kutua hapo ili watu wapande ndege nyingine.
Same as Ethiopia's Bole

Airport za Tanzania ni za watu wanaokuja Tanzania sio kuconnect. Flights.

Kuna something kuhusu tourists arrivals. Kenya have to provide real data
 
Hata sisi ATCL has to raise its game. Ikipata international routes nyingi eventually JNIA itakuwa hub(connecting international traveller's from different countrues). Hii ina determine number of pax airport inahudumia. Inafanyika sasa hivi ingawa sio kwa kiwango cha Bole au JKIA.
 
Bado Kunyaland ina guts za kufikiri inaweza kupambana na Tanzania kwenye tourism, they can't in all fronts apart from data cooking

View: https://youtu.be/GbaoyAOfMmI?si=BLwWU_ARIj5JnTKQ

Tanzania ina model tofauti na Wakundustan.
Tanzania inafanya Low Density, High Quality, High priced Tourist products. Angalia tu bei za one night Four seasons serengeti au Manta resort achilia mbali Thanda island.

Linganisha na Kundustan ( Mass Tourism) ambapo mpaka backpacker ( mtalii mwenye kitanda na tent yake analipa tu 10 Usd) ukute hata misosi kabeka yake. Atashindana wapi na High Quality High priced tourist products za Tanzania, Thanda Island room ni US$33,300 per night, na lazima uwe na minimum 5 nights ndio uweke pulizo zako pale 😂😂😂😂

Vivyo hivyo kwenye mambo mengine hawajui kwa kuwa wamechimbia vichwa chini na wanapenda sifa.

Mtanzania soon tena wa Mbagala atakua anatembelea bus lenye AC na Free Wi-fi while Tajiri yupo kundustan anasambaza tu kunguni. Yaani kunguni wa nyumbani anapelekwa Kwenye lorry linalolzimishwa liwe bus na kunguni wa Kwenye lorry anarudishwa nyumbani yaani ni mixed kunguni breed zinabadilisha tu mazIngira. Kuna kunguni anaweza kugundua karudi getho flani mara kadhaa😂😂😂😂😂😂😂
 
Hata sisi ATCL has to raise its game. Ikipata international routes nyingi eventually JNIA itakuwa hub(connecting international traveller's from different countrues). Hii ina determine number of pax airport inahudumia. Inafanyika sasa hivi ingawa sio kwa kiwango cha Bole au JKIA.
Tayari ATCL imeanza kukusanya Congo, Zambia, Burundi, Kigali na NAirobi Kwa Direct flights to China and India😎 tuwape muda kidogo.
 
Your major airports also accommodate small aircraft such as Cessnas. That is why, in terms of aircraft movements, you may appear to be performing well; yet by passenger volumes, you are no different from Entebbe. Quite the achievement, you brilliant simpleton.
Majority of their flights are just between the two airports, Zanzibar and JNIA and most are small aircrafts. 7 out of 10 destinations at JNIA are domestic flights.

ScreenShot Tool -20250831212847.png

ScreenShot Tool -20250831212446.png
 
Tanzania ina model tofauti na Wakundustan.
Tanzania inafanya Low Density, High Quality, High priced Tourist products. Angalia tu bei za one night Four seasons serengeti au Manta resort achilia mbali Thanda island.

Linganisha na Kundustan ( Mass Tourism) ambapo mpaka backpacker ( mtalii mwenye kitanda na tent yake analipa tu 10 Usd) ukute hata misosi kabeka yake. Atashindana wapi na High Quality High priced tourist products za Tanzania, Thanda Island room ni US$33,300 per night, na lazima uwe na minimum 5 nights ndio uweke pulizo zako pale 😂😂😂😂

Vivyo hivyo kwenye mambo mengine hawajui kwa kuwa wamechimbia vichwa chini na wanapenda sifa.

Mtanzania soon tena wa Mbagala atakua anatembelea bus lenye AC na Free Wi-fi while Tajiri yupo kundustan anasambaza tu kunguni. Yaani kunguni wa nyumbani anapelekwa Kwenye lorry linalozaimishwa liwe bus na kunguni wa Kwenye lorry anarudishwa nyumbani yaani ni mixed kunguni breed zinabadilisha tu mazIngira. Kuna kunguni anaweza kunduankarudi getho flani mara kadhaa😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Hizi upper cutz zako ni unusual mkuu 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Na Bado ni connecting airport. Kenya airways inalazimisha kutua hapo ili watu wapande ndege nyingine.
Same as Ethiopia's Bole

Airport za Tanzania ni za watu wanaokuja Tanzania sio kuconnect. Flights.

Kuna something kuhusu tourists arrivals. Kenya have to provide real data

JKIA is the regional hub to East Africa. Bole nikama JNIA tu, majority of the top 10 routes are domestic flights.

ScreenShot Tool -20250831214010 (1).png

ScreenShot Tool -20250831214113.png
 
Back
Top Bottom