Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu utulivu umezaminiwa na The Gambia. 😂😂😂
Kocha wao kawachana ukweli 👇👇🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20250906_104553_Facebook.jpg
 
Baada ya kupiga sana kelele main roads za Masaki zimewekwa lami mpya juu ya lami za zanani sasa zinapendeza na kuvutia.

Bado mitaa ya Posta lami za zamani zimechoka inabidi zirudiwe. Samora,Mkwepu,Indira Ghandi etc inabidi zipigwe msasa.
Ndio maana asubuhi unakuta mkeka mpya jioni umepita hukuona hata gari ipo site 😂
 
Vijana naona mnachanganya madesa Nkrumah inaanzia kko gerezani kamata hadi mnazi mmoja halafu inafuata Bi Titi mpaka maktaba then Ali Hassan Mwinyi
Unaita vijana watu usiowajua? Kuhusu Nkurumah kaulize tena inawesekana wewe ndio unachanganya.
 
Back
Top Bottom