Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

On our way to World Cup 2026.

Mechi ya playoff ndio Itaamua.

View: https://www.instagram.com/p/DOOw0CMCEjD/?igsh=MTJtcDN1dTRrc2xweA==

Unaonaje mtaenda playoff na nyinyi ndo wa mwisho kwa timu zote zinashikilia namba mbili?

1000067376.jpg
 
Kadri siku zinavyozidi kwenda watanzania wengi wanagundua Kenya ni certain Shithole nakumbuka miaka ya nyuma watanzania wengi walikua wanachukulia Kenya kama taifa moja sane mno, kumbe ni uozo uliofichwa kwenye fake data
Propaganda
Stori za zamani za Ujamaa, vs Ubepari


Kuna jamaa yangu alienda Kenya, miezi 12 tu maisha yamemshinda anarudi mwezi huu.

Screenshot_20250906_233702_WhatsApp.jpg
Screenshot_20250906_233727_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom