President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 33,999
- 93,349
Hao washindi wa Kenya leo wanapambana na Singida Black Stars. Tuone uwezo wao hapo.
No differenceTell me any resemblance between Amahoro and Talanta wewe mnyamwezi
Unajua Africa hii kuna wengi hawajui hatua zetu juu ya reli kwakua sio watu wa domo kaya.Usiombe.
Hapa ni Bongo Kweli?
Dodoma station hio. Very clean kama imefunguliwa jana. Kusema ukweli quality ya hii SGR infrastructure ni ya hali ya juu.Hapa ni Bongo Kweli?
sasa hvi ananuswa makalio 😂😂😂😂
View: https://www.instagram.com/p/DOL6O3lDE3z/?igsh=MXU3bm1raTc2ZDFpcg==
Hi
Hizi buildings NHC wangezipata rangi tofauti tofuati pangekuwa noma sana!!
Chole na Haile Selasie wangezijengea na side walk zingekuwa poa sana.Ni bora kuliko kufumua uanze upya. Za Masaki zimependeza sana hasa baada ya kuweka lines na signs.
Nyerere hakumkubali sana Nkrumah, walikuwa mafahari wawili kwenye zizi moja.RRONDO
Hivi Kwa nini Nyerere alimpa Nkrumah kamtaa kadogo hivyo, maana kipindi hicho, Samora bado ilikuwa inaitwa independence Ave.
Hilo hata mimi niliona. Imagine zingekuwa kama Toure drive kipande cha Sea Cliff hadi coco Beach. Nafikiri long term plan Haile Selassie inabidi iwe dual na service road mwanzo mwisho. Nafasi inaruhusu.Chole na Haile Selasie wangezijengea na side walk zingekuwa poa sana.